Tatizo la Uric Acid

Tatizo la Uric Acid

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
2,902
Reaction score
1,875
Habari za jumapili wana jukwaa wote.

Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid.

Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu makali anayoyapata kwenye Maungio ya mwili wake.

Ameshakwenda hospitali na kufanyiwa vipimo NDIO akaambiwa ana Uric Acid, Amepatiwa dawa za mwezi mzima na zinaisha tarehe 6 mwezi wa pili. Lakini mpaka Leo hii ni kama hakuna afadhri toka ameanza matumizi ya dawa hizi.

Pamoja na dawa pia kuna vyakula ametakiwa kuacha kuvitumia Mara MOJA kama Samaki, Nyama, maharage n.k amefanya hvyo na sasa anatumia mboga za majani na mrenda pekee lakini bado maumivu ni pale pale.

Naleta kwenu tatizo ili niweze kupata msaada wa
Nini tufanye, Dawa na hata matibabu yoyote ambayo yataweza kumponyesha.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu

Nawasilisha
 
Mwambie afanye urafiki na unywaji kahawa Tena ile chungu iliyokolea very conctrated!!

Akiichemsha pamoja na majani ya chai itakua POA Sana bila sukari!!

Kunywa asubuhi na jioni na mchana baada ya mlo!vikombe hasta viwili na unywe baada ya kuamka TU kabla hujala chochote!

Uric acid ni matatizo sana!
 
Nje na Dawa unaweza fanya haya.

Jipe muda wa zaidi ya Saa moja na nusu au Masaa mawili baada ya kula...

Fanya mazoezi asubuh na jion haya ya kuruka ruka
 
Ni kamzozo mimi hilo tatizo linanisumbua sana.Apunguze uzito,aachane na mapombe na soda,maviungo aache ,mavyakula ya kukaanga mnoo ayaache,angaalie pia karanga na machainizi .Asisahau kumeza allopurinol.
 
Na pia afuate masharti ya mlo wakati anatumia dawa
 
Kuna jamaa ana uzito mdogo kwel ila hili tatizo limekia mzozo kwake.
 
Mwambie afanye urafiki na unywaji kahawa Tena ile chungu iliyokolea very conctrated!!

Akiichemsha pamoja na majani ya chai itakua POA Sana bila sukari!!

Kunywa asubuhi na jioni na mchana baada ya mlo!vikombe hasta viwili na unywe baada ya kuamka TU kabla hujala chochote!

Uric acid ni matatizo sana!
Usithubutu kabisa kutumia kahawa.

1. Tengeneza juisi freshi nzito yenye mchanganyiko wa parachichi, bamia mbichi laini, karoti, karanga mbichi, papai, ndizi mbivu na asali. Usitumie sukari kabisa.

2. Usichuje, bali blend kabisa hadi iwe 100% laini, kisha weka kwenye friji ipate baridi la kati.

3. Kunywa glasi mbili kila baada ya saa 6 (plus usiku pia); kuanzia asubuhi.

4. Ikiwezekana, kwenye ule mchanganyiko, tumia maziwa freshi ya kuchemsha yaliyopoa yawe badala ya maji ya kublendia.

5. Hakikisha ndani ya saa 24 umekunywa maji yasiyopungua lita 4 (ndani ya saa 6 uwe umekunywa lita 1).
 
Habari za jumapili wana jukwaa wote.

Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid.

Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu makali anayoyapata kwenye Maungio ya mwili wake.

Ameshakwenda hospitali na kufanyiwa vipimo NDIO akaambiwa ana Uric Acid, Amepatiwa dawa za mwezi mzima na zinaisha tarehe 6 mwezi wa pili. Lakini mpaka Leo hii ni kama hakuna afadhri toka ameanza matumizi ya dawa hizi.

Pamoja na dawa pia kuna vyakula ametakiwa kuacha kuvitumia Mara MOJA kama Samaki, Nyama, maharage n.k amefanya hvyo na sasa anatumia mboga za majani na mrenda pekee lakini bado maumivu ni pale pale.

Naleta kwenu tatizo ili niweze kupata msaada wa
Nini tufanye, Dawa na hata matibabu yoyote ambayo yataweza kumponyesha.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu

Nawasilisha

Pole sana.

Ni vyema akarudi kwa daktari wake kwa uchunguzi zaidi kama maumivu ni makali sana licha ya kuzingatia dawa na masharti aliyopewa.

Kila la kheri.
 
aache nyama nyekundu mayai dagaa

Ale tunda hili kila siku utanidhukuru. Kukumanga "pomegranate"
 
Hapa ushauri ni shazi halafu haufanani mpaka mgonjwa apagawe
 
Habari za jumapili wana jukwaa wote.

Naomba niende MOJA kwa MOJA kwenye mada, Nina ndugu yangu anasumbuliwa Sana na Uric Acid.

Ni mwezi sasa amekuwa wa kukaa na kulala tu uku akilalamika maumivu makali anayoyapata kwenye Maungio ya mwili wake.

Ameshakwenda hospitali na kufanyiwa vipimo NDIO akaambiwa ana Uric Acid, Amepatiwa dawa za mwezi mzima na zinaisha tarehe 6 mwezi wa pili. Lakini mpaka Leo hii ni kama hakuna afadhri toka ameanza matumizi ya dawa hizi.

Pamoja na dawa pia kuna vyakula ametakiwa kuacha kuvitumia Mara MOJA kama Samaki, Nyama, maharage n.k amefanya hvyo na sasa anatumia mboga za majani na mrenda pekee lakini bado maumivu ni pale pale.

Naleta kwenu tatizo ili niweze kupata msaada wa
Nini tufanye, Dawa na hata matibabu yoyote ambayo yataweza kumponyesha.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu

Nawasilisha
Mpe pole yake mgonjwa mwambie asubuhi akiamka atumie nusu kijiko cha chapa simba kwenye maji ya moto kikombe anakoroga vizuri anakunywa alafu usku anatumia nusu kijiko cha unga wa mkaa kwenye maji ya moto zoezi liende kwa siku 10 tu
 
Back
Top Bottom