Embu tupe uwezi wake kwanza labda una tatizo la driver piaHabari wadau!
Nina laptop yangu aina ya Dell ambayo USB ports zote zimegoma kabisa kufanya kazi.. Na hiyo laptop natumia external keyboard na mouse sababu keyboard yake imekufa.
Sasa nikiwasha inaniambia press F1 to continue na hiyo key inapatikana kwenye keyboard nayo haiditect.
Msaada wakuu