Tatizo la usingizi litakuja kuniua mimi

Pole sana mkuu ,
 
Nitakula huyo ndege nikikarbia kufa ili nikienda jehanum iwe n mwendo wa kuchapa usingiz tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kutokana na vitabu vya dini Jehanam panatisha sana aisee huo muda wa kulala huwez pata hata uchomwe sindano ya nusu kaput drum nzima
 
Ilo ni tatizo dogo linalosababishwa na uzalishwaji mwingi wa homone ya "melatonin" nenda hospital utapata tiba
 
Hapana sijala hivyo vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…