Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,054
- 2,902
Nitakula huyo ndege nikikarbia kufa ili nikienda jehanum iwe n mwendo wa kuchapa usingiz tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]😀😀😀😀😀
wale ndege ukila unaweza kulala hata kwenye maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakula huyo ndege nikikarbia kufa ili nikienda jehanum iwe n mwendo wa kuchapa usingiz tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]😀😀😀😀😀
wale ndege ukila unaweza kulala hata kwenye maji
Pole sana mkuu ,*TATIZO LA USINGIZI NI SHIDA KWANGU*
Moja kwa moja kwenye point,
Nimekuja kwenu wadau ili nipate maneno na ushauri wenu juu ya hili tatizo langu la kusinzia mbalo sahz naona linanipeleka kubaya kabisa sasa, nimepita hospital kadhaa kubwa hapa nchini zile za kiserekali na binafsi lakn hewa
Hili tatizo lilianza kuonekana rasmi wkt nikiwa shule ya msingi pale Ilala Boma 2001-2007. Kuna kipindi ilikuwa asubuhi tu nikiingia darasan kipindi cha kwanza naanza kusambaza, walimu walinichapa paka wakashindwa waliamua kuwaita wazazi wangu na waliwashauri wanipeleke hospital lkn hewa
Nakumbuka 2007 wkt nafanya mtihani wa Taifa wa kwanza (Hesabu), niliukagua mtihan ulikuwa ni mwepesi sana na maswali takriban 90% yalikuwa ndani ya uwezo wangu, nimefanya maswali paka 19 hivi nikalala hapohapo (kuna baadhi ya watu hulala kwenye paper baada y kuzidiwa na maswali lkn kwangu haikuwa hivyo paper ilikuwa ni simple sana).
Pia ilitokea kuna siku nilisinzia nikiwa msikitini kwny swala kile kipindi cha ramadhan nilianguka katikati ya swala af nikawa km ndo nazinduka hivi
Kali ya yote na ndo imenifanya nije kwenu ni hii hali ya sasa ambyo imeanza kunisumbua
Yan kuna siku nilikuwa faraghan na baby mama, ile tumeanza vizuri kwa kasi ya mautamu tu na maushirikiano ya kutosha. Piga game... piga nikupige weee... Mara mtoto akalala kifo cha mende me nipo zangu juu nakula vitu. Tukaanza zile za slowly slowly huku tunaskilizia utamu wkt yupo pale chini me napump taratibu hivi kuna kipindi hata sielewi ilikuwaje but nakumbuka nilipigwa kichwani na yule baby mama huku akinishtua weee... Daah nikashtuka asee kumbe palepale nilikuwa nashalala mchezon yan, mtoto alijua naskilizia utamu mwanzon akashangaa nmeacha kupump.
Huu ugonjwa sasa unaenda pabaya kam kuna mtu anajua dawa plz
Kutokana na vitabu vya dini Jehanam panatisha sana aisee huo muda wa kulala huwez pata hata uchomwe sindano ya nusu kaput drum nzimaNitakula huyo ndege nikikarbia kufa ili nikienda jehanum iwe n mwendo wa kuchapa usingiz tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kutokana na vitabu vya dini Jehanam panatisha sana aisee huo muda wa kulala huwez pata hata uchomwe sindano ya nusu kaput drum nzima
😀😀😀😀😀Nitakula huyo ndege nikikarbia kufa ili nikienda jehanum iwe n mwendo wa kuchapa usingiz tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ahahahaahhahahaaaa kwny majiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]😀😀😀😀😀
wale ndege ukila unaweza kulala hata kwenye maji
Ahahahahaaa kweli hyo[emoji3][emoji3][emoji3]Hii chai
😛😛😛😛Ahahahaahhahahaaaa kwny majiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ahsante sanaPole sana aiseee
Hapana sijala hivyo vituitakuwa utotoni ulikula ndege fulani anaitwa CHAUSINGIZI ni wale ambao ukiwa kwenye gari au pikipiki usiku barabarani hadi umkaribie sana ndo ghafla huyo anaruka. sasa ukila huyo ndege ndo tatizo linakupata. njoo pm nikuelekeze dawa.
😎😎😎😎😎
niombewe kwa nani sasa?Kaombewe
Yah ndo hivyoHahaha, hilo tatizo ni kubwa kama unasinzia ukiwa kifuani.
AhsanteKuna ugonjwa unaitwa Sleep apnoea...ufuatilie...
shauriDuh we noma
trueHii chai
cna hakika
Ili?kapimwe mkojo