Tatizo la usingizi

Tatizo la usingizi

Ni kutokana ulivyo. Jizoesha, jaribu kuwa bize usikae sehem moja Dear
Mamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
 
Kulala sana hasa wakati wa mchana (hypersomnia) inaweza kusababishwa na unene kupita kiasi, kunywa pombe, msongo wa mawazo ( depression), mood disorders (bipolar) kuna baadhi ya madawa (sedative drugs) au tranquilizers....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo vyote hapo sina ila cha kushangaza ndo usingizi nausikia kila muda
 
pole mkuu Fanya mapenzi kila siku kwa muda wa siku 30 tatizo hilo litaisha kabisa
 
Hahahahahaaaaa aiseeeee sasa nitapewa dawa gani mmmmhhh
Hahahaha
Nenda kacheck kama umepata huo ugonjwa trypanosomiasis known as sleeping sickness ambao unasababishwa na trypanosoma.

Dawa zake zipo kama dawa zingine vile ila nenda hospital ukacheck kama ni serious.
 
Back
Top Bottom