Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
- Thread starter
- #21
Ngoja leo nianze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja leo nianze
Kila mtu na ugonjwa wake take it easy ...mm toka nimeingia humu mwezi jana ..nina ugonjwa wa ku-like kila anachoandika Curious gal,kiwe cha maana kisiwe cha maana mm na-like tu.Kuna wkt nalazimika kufukua makaburi mpaka lisaa lizima natafuta comment zake ili ni-like tu.Mamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
Waoooooh thanks kwa kulike.....ila angalia usije kufukua makuburi mengine maana yanatishaKila mtu na ugonjwa wake take it easy ...mm toka nimeingia humu mwezi jana ..nina ugonjwa wa ku-like kila anachoandika Curious gal,kiwe cha maana kisiwe cha maana mm na-like tu.Kuna wkt nalazimika kufukua makaburi mpaka lisaa lizima natafuta comment zake ili ni-like tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwita 'dear' inahusu![emoji57][emoji57][emoji57].......wapenda kitonga utawajua tu!Ni kutokana ulivyo. Jizoesha, jaribu kuwa bize usikae sehem moja Dear
Huwezi amini nipo okay
Tatizo silijui......na hicho ulichoniambia nikapime sina coz sijafanya hivo kwa muda mrefu
Mwili unafanya compasasion ya kipindi kile ulichokuwa hulaliMamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
Yani nikilala mida hiyo lazima niwahi kuamka hata iwejeJizoeshe kulala mapema sasa na wewe angalau kuanzia saa tatu hadi saa nne ..kwa ushauri zaidi nenda hospital
Hii inawezekana maana nina kama mwezi nilikuwa busy sana hata muda wa kulala ulikuwa mdogo.......so nifanyaje
Acha mwili ufanye self justification, ukikaa sawa utarudi kwenye hali yake ya kawaidaHii inawezekana maana nina kama mwezi nilikuwa busy sana hata muda wa kulala ulikuwa mdogo.......so nifanyaje
unawahi kuamka saa ngapiYani nikilala mida hiyo lazima niwahi kuamka hata iweje
Sawa nimekuelewaAcha mwili ufanye self justification, ukikaa sawa utarudi kwenye hali yake ya kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app