Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Mamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
Nitajitahidi kufanya hivo maana mimi nimeshazoea kukaa ndani tuNi kutokana ulivyo. Jizoesha, jaribu kuwa bize usikae sehem moja Dear
Hahahahahaaaaa halafu hauwezi amini mimi sio bonge ni mwembambaKila muda unasikia usingizi???
Hahhahaahah we utakuwa bonge maana mabonge wanapenda kulala sana.
Nitajitahidi kufanya hivo maana mimi nimeshazoea kukaa ndani tu
Nitajitahidi sana maana naichukia hii haliBasi fanya hivyo Dear Utapata madhara ya sana Hata uwe unatembea tembea for no reason
Hivo vyote hapo sina ila cha kushangaza ndo usingizi nausikia kila mudaKulala sana hasa wakati wa mchana (hypersomnia) inaweza kusababishwa na unene kupita kiasi, kunywa pombe, msongo wa mawazo ( depression), mood disorders (bipolar) kuna baadhi ya madawa (sedative drugs) au tranquilizers....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sleeping sickness wahi hospital tu hamna namna. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahahaaaaa halafu hauwezi amini mimi sio bonge ni mwembamba
Hahahahahaaaaa aiseeeee sasa nitapewa dawa gani mmmmhhhSleeping sickness wahi hospital tu hamna namna. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahaHahahahahaaaaa aiseeeee sasa nitapewa dawa gani mmmmhhh
pendelea kutembea hata kwa nusu saa, kila siku itakusaidia sana.Nitajitahidi kufanya hivo maana mimi nimeshazoea kukaa ndani tu
Yah ni serious.....nitafanya hivoHahahaha
Nenda kacheck kama umepata huo ugonjwa trypanosomiasis known as sleeping sickness ambao unasababishwa na trypanosoma.
Dawa zake zipo kama dawa zingine vile ila nenda hospital ukacheck kama ni serious.
Heheheheheheeeee hayaUkisikia usingizi, gonga Azam au Mo energy...
Uwiiiiiiii sina muda huopole mkuu Fanya mapenzi kila siku kwa muda wa siku 30 tatizo hilo litaisha kabisa
Penda kunywa kahawaHivo vyote hapo sina ila cha kushangaza ndo usingizi nausikia kila muda
Thanks......nitajitahidipendelea kutembea hata kwa nusu saa, kila siku itakusaidia sana.