Tatizo la usingizi

Mamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
Kila mtu na ugonjwa wake take it easy ...mm toka nimeingia humu mwezi jana ..nina ugonjwa wa ku-like kila anachoandika Curious gal,kiwe cha maana kisiwe cha maana mm na-like tu.Kuna wkt nalazimika kufukua makaburi mpaka lisaa lizima natafuta comment zake ili ni-like tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoooooh thanks kwa kulike.....ila angalia usije kufukua makuburi mengine maana yanatisha
 
Jizoeshe kulala mapema sasa na wewe angalau kuanzia saa tatu hadi saa nne ..kwa ushauri zaidi nenda hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…