Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Ngoja leo nianze
Hauamini au?Kahawa tena [emoji15][emoji15][emoji15]
Huna preg rafiki???! utanenepa sana ujueMamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
Preg hapana mamii.......yani sitaki kunenepa kwa kweli
Kula Miraa au mirungi kazi Ndogo hiyoHahahahahaaaaa aiseeeee sasa nitapewa dawa gani mmmmhhh
Aiseeeee
Yaani hii fasta utasahau huo Usingizi wako wa Kukuelemea.Aiseeeee
Wewe unataka mimi nile mirungi una akili wewe!Yaani hii fasta utasahau huo Usingizi wako wa Kukuelemea.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sasa kwani c umetaka dawa Au huamini kama itakuponya!Wewe unataka mimi nile mirungi una akili wewe!
Usijali, mimi kwa siku nalala masaa 16/24. Sio ugonjwaMamboz!
Kuna kipindi nilikuwa nakosa usingizi naweza kulala sa 7 nikaamka saa 12 ila kwa sasa nimekuwa ni mtu wa kulala sana na kila muda nasikia usingizi.....
Je,hili ni tatizo au hali ya kawaida?
Mirungi ni dawa?Sasa kwani c umetaka dawa Au huamini kama itakuponya!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Okay nashukuru
Mwili umechoka unahitaji kupumzishwa. Usingizi una tawaliwa na brain kwahiyo mwili ukichoka ubongo una switch on sehemu inayohusika na usingizi mpaka mwili utakapo kuwa sawa, umeelewa??!!!Jibu swali
Muda mwingi uwa nakuwa sifanyi kazi.....sasa huko kuchoka kunatokea wapiMwili umechoka unahitaji kupumzishwa. Usingizi una tawaliwa na brain kwahiyo mwili ukichoka ubongo una switch on sehemu inayohusika na usingizi mpaka mwili utakapo kuwa sawa, umeelewa??!!!
Nimecheka saana mkuu paka Mama mtoto kashtuka
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Heheheheeee aiseeee ngoja nitafute mtu sasa