Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
- Thread starter
-
- #101
Mrejesho kwa muda mfupi hivi jamani😉Haya leta mrejesho. Umesinzia?
Ujue wahenga wanafuatilia afya yako. Wanakujali. Hebu niambie basi. Umelala sana leo?Mrejesho kwa muda mfupi hivi jamani😉
Hahahahahaaa nashukuru sana muhenga kwa kufuatilia afya yangu inaonesha unajua kucare.....leo nimejitahidi mpaka sasa hivi sijalalaUjue wahenga wanafuatilia afya yako. Wanakujali. Hebu niambie basi. Umelala sana leo?
Wahenga tunajali. Japo Enzi ya Mkapa tuliitwa Mabuzi. Na kwa jk tukaitwa (baby,my,hubby, honey, sweetie)Hahahahahaaa nashukuru sana muhenga kwa kufuatilia afya yangu inaonesha unajua kucare.....leo nimejitahidi mpaka sasa hivi sijalala
Heheheheheeeeeee hongera kwa kujali hukoWahenga tunajali. Japo Enzi ya Mkapa tuliitwa Mabuzi. Na kwa jk tukaitwa (baby,my,hubby, honey, sweetie)
Wa DSM wakaitwa Marioo. This makes you laugh.
Umelala?Heheheheheeeeeee hongera kwa kujali huko
HapanaUmelala?