Tatizo la usingizi

Tatizo la usingizi

Ujue wahenga wanafuatilia afya yako. Wanakujali. Hebu niambie basi. Umelala sana leo?
Hahahahahaaa nashukuru sana muhenga kwa kufuatilia afya yangu inaonesha unajua kucare.....leo nimejitahidi mpaka sasa hivi sijalala
 
Wahenga tunajali. Japo Enzi ya Mkapa tuliitwa Mabuzi. Na kwa jk tukaitwa (baby,my,hubby, honey, sweetie)
Wa DSM wakaitwa Marioo. This makes you laugh.
 
Heheheheheeeeeee hongera kwa kujali huko
 
Back
Top Bottom