Tatizo la uume kulala wakati wa baridi

Tatizo la uume kulala wakati wa baridi

Wewe Mkuyati Noma Kiongozi,mtoto wa watu ameomba ushauri tu wa babyto wake,yasije yakamkuta huko Mafinga.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hyo ndio dawa mkuu, si analalamika hapati huduma mujarabu.
 
Ajaribu vitunguu swaumu, tende na maji mengi masaa kadhaa kabla ya tendo
 
Masikini pole, kuna mdada pia alishawahi kunambia nkajua fix tu
dushe ya mme wake haisimamagi yani inakuwa kama inashtuka shtuka
kwahiyo ikishtuka ndo inasimama wanakimbia ndani kufanya
muda mwengine inasimama kuna wageni anamuita wife fasta wanakimbia chumbani kabla haijalala

Nimechekaje! So sorry to him
 
Back
Top Bottom