Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

..hivi zipo teams humu eeh!!
nachaguaje temam yangu??

Teheeee zipo kaka wajuaji watakwambia ila mi naijua team vibamia na team virungu lol. Ngoja tusimuudhi mtoa mada mwache aendelee kupata maushauri. Karibu team vibamia mie ndo nimejikita huko kutenguliwa maini staki lol
 
Teheeee zipo kaka wajuaji watakwambia ila mi naijua team vibamia na team virungu lol. Ngoja tusimuudhi mtoa mada mwache aendelee kupata maushauri. Karibu team vibamia mie ndo nimejikita huko kutenguliwa maini staki lol

..hahahaaa.. Kweli nimecheka!!!
 
tatizo la vijana wasikuhz mnachanjia sana na hayo madawa ya kurefusha uume. Kuna jamaa alikuwa na uume mdg sana. Akachanjia. Leo hii rula ndefu mpaka wadada wanamkimbia
 
Chunguza kushoto kunanini,kama mmea ukipindia mahali kwenye mwanga tunasema phototropisim,au ukifuata maji tunasema hydrotropism.sasa huo uume inaweza kuwa ni pussytropisim.

Ushauri; nunua rula ya mbao funga na kitambaa kuunyoosha

Hahaaaaaaa nimeipenda hii #pussytropism
Duh jF
 
hiyo ni kawaida. suala ni je unavaa aina gani ya nguo ya ndani na hiyo fimbo yako inakuwa kwny position gani most of the tm?
 
du aisee utakuwa na dude la maana hadi raha maana waliotahiriwa udogon weng ni vibamia loo mwe hadi mate yamenitoka
 
Iyo kawaida hata yangu imepinda kwenda kushoto.... Tatizo umekata govi ukiwa age imekwenda ht me pia nimekata ukubwani ila we umenizidi age
 
Hiyo ni kawaida hakuna mb** iliyonyooka kama ruler au unataka iwe kama mshale
 
ni kawaida xana mi nilitahiriwa wakati mdogo na bdo imepinda ila ndo nawat** xana kama cna akil nzur, most of them wanafurah coz inaguxa pande zote za k!
 
acha uzembe wewe unapovaa nguo chomekea singlend vizuri panga mdudu wako safi jitahidi kumuweka direction nzuri atakaa vzuri tu,pia icho si kilema bana
 
ha ha haha nimekumbuka kitu......



hizi boxer zimeharibu kaka zetu sana kitu kinabaanwa masaa yoote kulazimishwa kulala upande mmoja! hata kikisimama sio dede kinakaza tu hapo ubavuni.

zaman enzi za mabensi nyanya kitu kikisimama ni dede kabisa kwenda mbele
 
Wakuu embu msaidieni huyu mtu. Uume wake umepinda kuelekea chini inakuaje. Na unamsumbua wakati wa kusex.
 
Mimi unepinda kwa kulia..lkn unapiga mzigo km kawa...
kwa kawaida km akiutumia vizuri unaweza ukawafaidisha wote, but inategemea na ufundi wake. mara nyingi zilizopinda, zikiingia ktk maku huwa zinayooka AUTOMATIC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…