64Bits
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 961
- 564
..hivi zipo teams humu eeh!!
nachaguaje temam yangu??
Teheeee zipo kaka wajuaji watakwambia ila mi naijua team vibamia na team virungu lol. Ngoja tusimuudhi mtoa mada mwache aendelee kupata maushauri. Karibu team vibamia mie ndo nimejikita huko kutenguliwa maini staki lol