matamauruke
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 348
- 211
Chupi za VIPKuvaa sana chupi kwa mwanaume kunapindisha mzigo
[emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kitendo cha uume kupinda tunaiita sweetening process. Hili huufanya mtalimbo kuwa mtamu zaidi coz unapoingia unaongeza friction kwa sababu hauendi umenyooka kama rocket... So kama hiyo bahati imekukuta wewe, jiite mwenye heri, usingoje kutangazwa na kanisa kuwa wewe ni mwenye heri...
kuna jamaa yangu ana uume uliopinda kuelekea kulia 90 degree pind unapo erect pia anapesex manii huwa hayatok kwa kac yaani yanakua kama yanamwagka huku mengne yakbak kweny mrija. je hil halwez kuleta utasa? na je husababishwa na nn? je anaweza kutibka? wana JF 2naomba taaluma zenu juu ya hili.
Mara nyingi tatizonlanuume kupinda linaanzia utotoni, na wazazi ndo husababisha kwa kuto kujua, mtoto wakiume anapovalishwa chupi inatakiwa usimamizi mama ahakikishe machine ya mtoto imeelekezewa chini yaniniangalie chini, sio mradi kavaa chupi tu kasepa hapana bali iangalie chi na sio juu wala pembeni. Kwakufanya hivyo inasaidia mishipa kua katika hali yake ya kawaida nakufanya ikue ikiwa imenyooshwa, inapoangalizishwa pembeni au juu mishipa inakua imelazimishiwa kufuata direction ingine ambayo ikikomaa inakua sio rahisi kurudi tena, pindi kijana anapoanza matumizi nayo ndo anagundua sasa naikanua basi tena. Kwa mwanamke mara nyingi ha enjoy zaidi ya maumivu tu maana unakuta inginr imebinuka kuangalia juu sasa ikiwa kule ndani inakua kama koleo lakuchotea mchanga inamsababishia maumivu mtumiaji. Kwa wazazi tunatakiwa tuwaangalie watoto wetu wakiume wanapo vaa pants zao ikiwezekana unamwambia kabisa vaa vizuri weka dudu hivi ukiwa unavaa chupi. Natuepuke kuwavalisha chupi zinazo wabana.Hivi tatizo kupinda kwa uume husababishwa na nini?
Je, wanawake huwa mnafeel nini wakati wa tendo na uume wa namna hii?
Je, hii hawezi kusababisha ugumba?
Wenye matatizo mnapenda kutiana ujinga kwingine patakunwa na nani kama utaukuna upande mmojaKitendo cha uume kupinda tunaiita sweetening process. Hili huufanya mtalimbo kuwa mtamu zaidi coz unapoingia unaongeza friction kwa sababu hauendi umenyooka kama rocket... So kama hiyo bahati imekukuta wewe, jiite mwenye heri, usingoje kutangazwa na kanisa kuwa wewe ni mwenye heri...
Kila Uume unaposimama (wenyewe mnaita Kudinda ) basi ama utachukua mwelekeo ambapo una weza Kudindia sana Mashariki au unaweza Kudindia sana Magharibi na hakuna siku ambayo Uume unasimama ( Unadinda ) kwa kusimama katikati.
Hii inatokana na nini?
Nna jamaa yangu ameomba nimpostie kuwa ana tatz la kupinda kwa uume kuelekea chini je eti ni tatizo,ina madhara gan