Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Wakuu mnakumbuka enzi za VIP? Tuliotumia hizo vitu machine lazima ipinde.
 
Jaman naomben msaada wa hili hivi kama uume umepinda kuelekea chin Ni tatz na kama Ni tatz unanyokaje
 
Kitendo cha uume kupinda tunaiita sweetening process. Hili huufanya mtalimbo kuwa mtamu zaidi coz unapoingia unaongeza friction kwa sababu hauendi umenyooka kama rocket... So kama hiyo bahati imekukuta wewe, jiite mwenye heri, usingoje kutangazwa na kanisa kuwa wewe ni mwenye heri...
[emoji41] [emoji41] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
kuna jamaa yangu ana uume uliopinda kuelekea kulia 90 degree pind unapo erect pia anapesex manii huwa hayatok kwa kac yaani yanakua kama yanamwagka huku mengne yakbak kweny mrija. je hil halwez kuleta utasa? na je husababishwa na nn? je anaweza kutibka? wana JF 2naomba taaluma zenu juu ya hili.

Mkuu jamaa anakupiga nao nini, hadi umwagikaji wa manii unaushuhudia, kama wewe ni ke naomba ni samehe. Kama ni vise vesa duuuu umependa baby msuguo.
 
Mara
Hivi tatizo kupinda kwa uume husababishwa na nini?

Je, wanawake huwa mnafeel nini wakati wa tendo na uume wa namna hii?

Je, hii hawezi kusababisha ugumba?
Mara nyingi tatizonlanuume kupinda linaanzia utotoni, na wazazi ndo husababisha kwa kuto kujua, mtoto wakiume anapovalishwa chupi inatakiwa usimamizi mama ahakikishe machine ya mtoto imeelekezewa chini yaniniangalie chini, sio mradi kavaa chupi tu kasepa hapana bali iangalie chi na sio juu wala pembeni. Kwakufanya hivyo inasaidia mishipa kua katika hali yake ya kawaida nakufanya ikue ikiwa imenyooshwa, inapoangalizishwa pembeni au juu mishipa inakua imelazimishiwa kufuata direction ingine ambayo ikikomaa inakua sio rahisi kurudi tena, pindi kijana anapoanza matumizi nayo ndo anagundua sasa naikanua basi tena. Kwa mwanamke mara nyingi ha enjoy zaidi ya maumivu tu maana unakuta inginr imebinuka kuangalia juu sasa ikiwa kule ndani inakua kama koleo lakuchotea mchanga inamsababishia maumivu mtumiaji. Kwa wazazi tunatakiwa tuwaangalie watoto wetu wakiume wanapo vaa pants zao ikiwezekana unamwambia kabisa vaa vizuri weka dudu hivi ukiwa unavaa chupi. Natuepuke kuwavalisha chupi zinazo wabana.
 
Mzigo ndiyo kama huo?
 

Attachments

  • 1463909470384.jpg
    1463909470384.jpg
    28.3 KB · Views: 788
Kitendo cha uume kupinda tunaiita sweetening process. Hili huufanya mtalimbo kuwa mtamu zaidi coz unapoingia unaongeza friction kwa sababu hauendi umenyooka kama rocket... So kama hiyo bahati imekukuta wewe, jiite mwenye heri, usingoje kutangazwa na kanisa kuwa wewe ni mwenye heri...
Wenye matatizo mnapenda kutiana ujinga kwingine patakunwa na nani kama utaukuna upande mmoja
 
Mzigo ROCKET TUNAUITA.. NAUELEWA KICHIZI.. Wangu umeelekea keshoto weeeeee hawaruki nkiwabana..
 
Nina jamaa yangu ameomba nimpostie kuwa ana tatizo la kupinda kwa uume kuelekea chini; Je, eti ni tatizo? Ina madhara gani?

Kila Uume unaposimama (wenyewe mnaita Kudinda ) basi ama utachukua mwelekeo ambapo una weza Kudindia sana Mashariki au unaweza Kudindia sana Magharibi na hakuna siku ambayo Uume unasimama ( Unadinda ) kwa kusimama katikati.

Hii inatokana na nini?
 
Hyo ni kawaida mkuu..shaka ondoa kabsa..sio tatzo...
Pia kupinda kwa uume inasababishwa sana na uvaaji wa nguo ya ndan iliyobana sana pia pale uume unaposimama afu unaulazimisha ukae kwa namna ambavyo unahis ww utakua comfortable.mfano uume unaposimama ukawa na mazoea ya kuulazimisha uweke upande wa kushoto/kulia/ chini/juu ndivo hivo hivo utakavokuja kua na shape ..
 
Watu wengi uzaliwa na uume ulio nyoka ila upinda baada ya balehe sababu ni punyeto ila nimegundua kuwa watu atujui kwanini uume umepinda au unazidi kupinda.sababu kuu ya kupinda kwa uume ni punyeto inayo pigwa kitandani kwa kifudifudi.

Uume kupinda kuelekea kushoto au kulia utokana na MTU utumia mkono gani kuandikia kama una andikia au kulia chakula kama unatumia mkono wa kushoto uume utapinda kuelekea KULIA.

Na kama unatumia mkono wa kulia kuandikia basi uume utapinda kuelekea KUSHOTO hii ndo sababu watu wengi uume umepinda kuelekea KUSHOTO kwasababu ya nyeto
 
Back
Top Bottom