Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Kweli bhana me nilijua ni ya kwangu tu kumbe hata nawengine pia? Mtoa mada me kila cku nilikuwa najiuliza ni mimi tu au na wapo wengine imepinda? Ila sio kibamia ni mashine haswaaaa
 
Yangu imepinda mademu wengi wamenisifia kwa kuwakuna kona zote,

Kupinda pia hutokana na jinsi ulivyotahiriwa.
 
inategemea na uvaaji wa nguo za ndani hasa zinazo bana ila nlwahi kusoma kwenye majarida ya femina walisema kuwa hakuna madhara dusheee ikiwa imepinda!!!!!!!
 
Helo wapendwa,nna swali hapaa hivi kwann baadhi ya wanaume penis zao zimepinda?
Ni kutokana na uvaaji wa chupi za kubana, unakuta imesimama wakati hakuna matumizi yake muda huo kwa hiyo mtu anaisogeza kushoto au kulia kulingana na mkono anaotumia. Na ni zoezi endelevu linaanza tangu akiwa mdogo. kwa hiyo usishangae. lakini kama umekutana na iliyipinda kuelekea chini basi hicho kitakuwa kilema...
 
Mi yangu ndefu sana imeelekea chini ila sioni kama kuna tatizo japo uwa natamani ikisimama inyoooooke ila kutokana na urefu na unene wake nahisi haiwezekani
 
Kuna zile mahsusi kwa ajili ya kuparua G-spot, hizi hupinda kuelekea juu
 
Kweli bhana me nilijua ni ya kwangu tu kumbe hata nawengine pia? Mtoa mada me kila cku nilikuwa najiuliza ni mimi tu au na wapo wengine imepinda? Ila sio kibamia ni mashine haswaaaa
Onyesha bac nithibitisheee unajisifu mwenyewe vp,?
 
Yangu imepinda mademu wengi wamenisifia kwa kuwakuna kona zote,

Kupinda pia hutokana na jinsi ulivyotahiriwa.
Hhhhhh sasa wewee
Huko kukuna kona zote iyo kitu imepindaje pindaje??!!!au imepinda kona zote?
 
kwa kuwA penis ni VECTOR QUANTITY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…