Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Mimi nafikiri hupinda tangu udogoni wakati wa kufungwa nepi au kubebwa na mabebeo yanayokandamiza uume.
 
Uhakika ni kwamba uvaaji wa chupi ndo huchangia hiyo kitu mm binafsi yangu ilikuwa impepinda nilipoingia form five mwaka 2007 niliacha kabasa kuvaa chupi nikawa navaa bucta tu, sasa HV hakuna uelekeo wowote wa kupinda yaani inasimama sawasawa na kiukweli mpaka leo siwezi kuvaa chupi mana huwa inanidumbua sana coz kwa siku inasimama Mara kwa Mara naona bora mchoro uonekane kuliko kujitesa
 
Helo wapendwa,nna swali hapaa hivi kwann baadhi ya wanaume penis zao zimepinda?
Uume ukiubana kwa muda mrefu Ni Lazma utapinda

Unaweza sababishwa na Uvaaji Chupi

Au Boxer za kubana

Watalaam Wanasema Kubana Sana sehem zako za SIRI Sio vzr kiafya

Mfano mdogo Wazee wengi wa Pwan Huwa Wana vaa misuli japo Hili linaweza Fananishwa na Mtu Kuwa Na Busha
 
Kumbe uume unapindaga? Mi ninachojua kua NCHI ndo imepinda ndo maana magufuli anadai anainyoosha.
 
Wasalaam
Wakuu naomba kuuliza hivi hili tatizo la uume kupinda Kulia,kushoto,juu au chini linatokana na nini.?
na je hili ni tatizo la kiafya au Laa??

NAOMBA KUWASIRISHA
 
Acha kuvaa pichu, kitu kining'inie
 
Hiyo ni kawaida kwa wavaa boxer...
Kwa Wenzetu wamasai zao zimenyooka
 
Nina jamaa yangu ameomba nimpostie kuwa ana tatizo la kupinda kwa uume kuelekea chini; Je, eti ni tatizo? Ina madhara gani?
Weka picha tuone degree ya kupinda maana hakuna penis iliyo 180 degrees straight!
 
Back
Top Bottom