Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

unauliza wanawake wanafeel aje? unataka watu tukapindishe zetu sasa.
 
Nini kinatokea mpaka uume unapinda? Nini madhara yake kwenye mapenzi? Je wadada wanapenda uume uliopinda? Na wanafika kileleni? Na utaufanyaje urudi kwenye hali yake?

Yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili.

Nina jamaa yangu ameomba nimpostie kuwa ana tatizo la kupinda kwa uume kuelekea chini; Je, eti ni tatizo? Ina madhara gani?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…