Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Kwa huko mbele funga kitu kama jiwe la nusu kilo halafu vaa kanzu kwa mwezi 1.hii ni njia rahisi na salama ya kutatua tatizo lako
 
kaika somo la biology tunaambiwa mimea kama mnazi inpopinda huwa inafuata nishaaati (mwanga, maji, chakula nk) sasa huko kupinda kwako labda inatafuta mwanga
 
tuwekee na picha ili tuone sehemu iliyopinda
 
Mkuu mimi mwenyewe nimepita tuu wala sijatoa mchango maana niliona kijana wa miaka 20 ashaanza kuwaza kuwa akisex na wanawake wakati mtarimbo umepinda inakuwaje nikaona majanga mengine hapa
Teens wanapata taabu kwelikweli.
 
kaika somo la biology tunaambiwa mimea kama mnazi inpopinda huwa inafuata nishaaati (mwanga, maji, chakula nk) sasa huko kupinda kwako labda inatafuta mwanga

Ha ha haa, ndio zile phototropsim,geotropsim etc sasa ya huyu jamaa itakua PUSSYTROPISM
 
Mkuu grafani11 namuona watu8 amekuwa shuhuda mzuri na mshauri mzuri sana kwa huyu teen
Ausikilize ushauri wa watu8 nafikiri unamtosheleza kabisa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…