Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Hiyo hiyo mkuu, ndiyo mpango wa mjini siku hizi.
majanga sasa ila do me i do you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hiyo mkuu, ndiyo mpango wa mjini siku hizi.
Mkuu nisaidie jina la hilo jukwaa tafadhali, nataka nimtumie mkuu Inv. kitu kamili.
Wakati uko errect or at ease??!!
Wakati huo utakuwa hata na huo ujasiri wa kusema hivyo.majanga sasa ila do me i do you.
kama nilivyo eleza hapo juu ndo hali halisi
Ha ha haa, ndio zile phototropsim,geotropsim etc sasa ya huyu jamaa itakua PUSSYTROPISM
Dogo mi haujapinda...ila kuna jamaa wa karibu ulikua umepinda akakata na Shoka....ikawa fureshi
Mkuu nisaidie jina la hilo jukwaa tafadhali, nataka nimtumie mkuu Inv. kitu kamili.
ok ok sidhani kama itakuwa ni tatizo ingawa swali ni kwa kiasi gani umepinda????!!!
Kwa uhakika zaid mtafute daktari uzungumze naye maana inaonekana kama inakunyima raha na itakuja kukusumbua kweli kama hutaondoa hii hofu ambayo unaonekana unayo!!????
As a matter of fact wengi sana wana deflections to right,left,upward or down ward so sio tatizo
Ha ha haaaa ni matege tu kama ya miguu!!!!!
Nikuache tena sijipendi nini! Siku tatu tu ilikuwa majanga kila mtu alitaka kuonja.ukifanikiwa kwenda hilo jukwaa na mimi uniambie my king
Kwa huko mbele funga kitu kama jiwe la nusu kilo halafu vaa kanzu kwa mwezi 1.hii ni njia rahisi na salama ya kutatua tatizo lako
Ni tiba au adhabu? Msaidien kijana kwa tiba ambazo zitampa imani ya kupona.ni ushauri tu.
Nikuache tena sijipendi nini! Siku tatu tu ilikuwa majanga kila mtu alitaka kuonja.
yaani comments zako zimenichekesha sana
nimejikuta nacheka kwa sauti ya juu sana LOL
Ha ha haa, ndio zile phototropsim,geotropsim etc sasa ya huyu jamaa itakua PUSSYTROPISM