man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,354
hv unaweza kupinda kuelekea kweny tigo yako mwnywe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna tatizo lolote kijana....hayo ndio madhara ya uvaaji wa chupi...nashukuru mimi wazazi wangu hasa baba alipiga maruku uvaaji wa chupi ni mwendo wa bucta tu na sasa mashine kama lula....
jaman wanandugu naomben masaada, kuna rafiki yangu, uume wake umepinda. Kwa anayeweza kufahamu tiba nzur ili kuweza kuwa katika hali iliyonyooka. Ahsanten
- Ndivyo alivyo tangu kuzaliwa? Kama sivyo,je una muda gani?
- Unamzuia kufanya chochote?
- Anapata maumivu?
kama mleta mada hajajibu sasa mim naomba ligeukie kwangu
kiukweli hata mimi imepindia kushoto,
--na si kuwa limeanza jana au juzi ni tokea nimeanza kujielewa
-kupinda kwake hakunizuii kufanya lolote
-ila tatzo linakuja ni kwamba nikishamaliza round ya kwanza nnapokuwa nataka kwenda round 2 (baada ya bao la kwanza si huwa imelala)
inapoanza kusimama ndo huwa nasikia maumiv nayo huwa hayanizuii kuendelea na tendo
na haijapindia ndani ni kwa nje
sijui kama nimeeleweka!!!
cc watu8, MziziMkavu na wengine mnaofahamu tiba..