Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jaman wanandugu naomben masaada, kuna rafiki yangu, uume wake umepinda. Kwa anayeweza kufahamu tiba nzur ili kuweza kuwa katika hali iliyonyooka. Ahsanten
kama mleta mada hajajibu sasa mim naomba ligeukie kwangu
kiukweli hata mimi imepindia kushoto,
--na si kuwa limeanza jana au juzi ni tokea nimeanza kujielewa
-kupinda kwake hakunizuii kufanya lolote
-ila tatzo linakuja ni kwamba nikishamaliza round ya kwanza nnapokuwa nataka kwenda round 2 (baada ya bao la kwanza si huwa imelala)
inapoanza kusimama ndo huwa nasikia maumiv nayo huwa hayanizuii kuendelea na tendo
na haijapindia ndani ni kwa nje
sijui kama nimeeleweka!!!
cc watu8, MziziMkavu na wengine mnaofahamu tiba..
jaman wanandugu naomben masaada, kuna rafiki yangu, uume wake umepinda. Kwa anayeweza kufahamu tiba nzur ili kuweza kuwa katika hali iliyonyooka. Ahsanten
Mwambie alete mm ni fundi welding, ntaunyoosha.
jaman wanandugu naomben masaada, kuna rafiki yangu, uume wake umepinda. Kwa anayeweza kufahamu tiba nzur ili kuweza kuwa katika hali iliyonyooka. Ahsanten
Jamaa yako na kupinda kwake kwa uume wake umejuaje wewe?? Au wewe ni kuku mtamujaman wanandugu naomben masaada, kuna rafiki yangu, uume wake umepinda. Kwa anayeweza kufahamu tiba nzur ili kuweza kuwa katika hali iliyonyooka. Ahsanten
Si kasema ni rafiki yake? inawezekana alimwambia maneno hayo au alimuonesha ili apate msaada.Haha ha haaaaaaaa mficha uchi hazai si useme tu kwamba jamani uume wangu umepinda mpaka utudanganye eti rafiki yangu acha hizo wwe wewe ulimuonaje?