Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Nina jamaa yangu ameomba nimpostie kuwa ana tatizo la kupinda kwa uume kuelekea chini; Je, eti ni tatizo? Ina madhara gani?
Weka picha yake kama unayo tuione!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji86] [emoji86]
 
Hiyo hali inaitwa Geotropism yaani uume uko +ve geotropic.
 
Watu wengi uzaliwa na uume ulio nyoka ila upinda baada ya balehe sababu ni punyeto ila nimegundua kuwa watu atujui kwanini uume umepinda au unazidi kupinda.sababu kuu ya kupinda kwa uume ni punyeto inayo pigwa kitandani kwa kifudifudi.uume kupinda kuelekea kushoto au kulia utokana na MTU utumia mkono gani kuandikia kama una andikia au kulia chakula kama unatumia mkono wa kushoto uume utapinda kuelekea KULIA. Na kama unatumia mkono wa kulia kuandikia basi uume utapinda kuelekea KUSHOTO hii ndo sababu watu wengi uume umepinda kuelekea KUSHOTO kwasababu ya nyeto
Na kuelekea juu??
 
Kwa wale wapenda 0713 ujue chululu zao zinapinda kuja kwenya makalio yao, hapana chezea mavi aisee
 
Mkuu ukitaka kujua mengi juu ya matatizo hayo nenda google andika tatizo la kupinda uume pale utapata elimu ya kutosha wamelielezea kwa kina sana nadhani ndio mahala pekee pa wewe kupata elimu juu ya tatizo hilo lakini humu watakuzingua tu hata ukiwa na tatizo serious hutopata msaada. Fanya hivyo tafadhari. Pole kwa tatizo
acha mambo yako wewe ,sasa hayo mawazo uliyompa sio msaada?au msaada ni nini
 
Back
Top Bottom