[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kweli unakaa na mwanaume mwenzio anaanza kukusimulia habari za uume wake ? we ni mkewe ?
Ni yeye mwenyewe huyo ndo mwenye tatizo, wabongo kwa kuzuga tupo vizuri mnoHivi kweli unakaa na mwanaume mwenzio anaanza kukusimulia habari za uume wake ? we ni mkewe ?
Mmh sasa mkuu hapo kwenye kisukari sijajua, hapo nimeongelea kutokana na experience na ushauri wa watu mbalimbaliHii tiba inawafaa na walipathirika kutokana na Kisukari?