Tatizo la uume kushindwa kusimama imara

Tatizo la uume kushindwa kusimama imara

Huyu mtu kaomba ushauri, inasikitisha sn watu wazima mnaanza kutoa ushauri ambao ni wa kejeli, jiulize laiti angekuwa wewe unajibiwa hivyo wkt una omba msaada? Tuache hizo Tabia sio nzuri, wahenga walisema usitukane wakunga uzazi ungalipo,
 
Ukipanda mahindi utavuna mahindi na wala si maboga!
Mpe pole aisee!
 
Dah.... Aachane tu na ishu za kugegeda afanye mambo mengine ya msingi [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom