Tatizo la uume kusimama muda wote

mwita burure

Senior Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
192
Reaction score
39
Ndungu wana JF,

Hivi tatizo la uume kusimama kila wakati ni nini? Maana hali imekuwa ya kudumu pia huwa napata shida hususani pale inaposimama nikiwa class or kwenye mkusanyiko tatizo ni nini doctor?
 
Duuuh!!!hii nayo Kali,maana hiyo hali watu wanaitafuta sana hadi kwa waganga.

Ila nijuavyo mm ni kuwa hali hiyo hutokana na mjengeko wa mawazo,so utakuwa unamawazo yanayopelekea uume kusimama.
 
Mkuu tafuta dem ugegede upunguze hamu! toa na hayo mawazo ya kugegeda mara kwa mara alasivyo muone daktari labda mizuka imepanda!
 
Nakumbuka wakati tupo secondary tulikua tunaambiwa wapishi wanaweka mafuta ya taa kwenye maharage kutupunguza stimu jaribu Na wewe mkuu
 
Ndungu wana JF,

Hivi tatizo la uume kusimama kila wakati ni nini? Maana hali imekuwa ya kudumu pia huwa napata shida hususani pale inaposimama nikiwa class or kwenye mkusanyiko tatizo ni nini doctor?
Madawati shuleni hayatoshi wananchi tuendelee kutoa michango kukamilisha zoezi hili bado kuna wanafunzi wanasimama darasani.
 
Mkuu tafuta dem ugegede upunguze hamu! toa na hayo mawazo ya kugegeda mara kwa mara alasivyo muone daktari labda mizuka imepanda!
Mkuu nina Ex na kila wiki lazima anipe but hiyo tabia imekuwa ya kawaida
 
Kama upo kwenye ofic zenye viyoyozi vikali ni kawaida, ukifanya uchunguzi vibamia vitakuwa vimepinda kwa kuelekezwa upande mmoja...angalizo kama upo huko usinywe chai wala kahawa ukiwa humo
 
Dr kanyas mtaalamu wa mitishamba anatibu mapungufu ya nguvu za kiume pia anayo dawa kwa ajili ya kurefusha uume ...mtafute kupitia 0744069527
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…