mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Ndungu wana JF,
Hivi tatizo la uume kusimama kila wakati ni nini? Maana hali imekuwa ya kudumu pia huwa napata shida hususani pale inaposimama nikiwa class or kwenye mkusanyiko tatizo ni nini doctor?