Niliweka huu uzi baada ya rafiki kuniambia kuwa siku moja asubuhi aliamka akakuta uume umevimba na hajatumia chochote kama maoni ya watu wengi yalivyokuwa. Baada ya siku tatu anaeleza kuwa alikuwa sawa bila hata ya kutumia dawa yoyote