Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada kujua tatizo la uume kuvimba na kuuma laweza kuwa ni ugonjwa gani na tiba yake ni nini?
Wacha weee....kubali yalikukuta mkùuNiliweka huu uzi baada ya rafiki kuniambia kuwa siku moja asubuhi aliamka akakuta uume umevimba na hajatumia chochote kama maoni ya watu wengi yalivyokuwa. Baada ya siku tatu anaeleza kuwa alikuwa sawa bila hata ya kutumia dawa yoyote