Tatizo la uume kuzama ndani

Tatizo la uume kuzama ndani

cyrax

Senior Member
Joined
Mar 12, 2017
Posts
105
Reaction score
88
Jamani habari zenu kama title inavyojieleza hapo juu nina ndugu yangu ana tatizo la uume na jirani yake unakuwa wadogo na kuzama ndani naomba msaada wenu kwa wenye utaalamu juu ya hili
 
Yani mmekaa kudiscuss tupu zenu Duh poleni aseh, ningewashauri muende wote hospitali yawezekana na wewe unalo jingine lililowapa confidence kukwambia yao.
 
wengi mnaangalia uuume (external factors) kumbe yawezekana mtu amiba zimesha tafuna tumbo pls vidonda vya tumbo na mengine mengi ya tumboni ila hayasemi anasema tu uume umerudi ndani kaonane na daktari
 
Nami ni miongoni mwa wale ambao hawaja elewa..
 
"Nina ndugu yangu ana tatizo la uume na jirani yake wanakuwa wadogo na kuzama ndani"

Sijaelewa aseee hebu nieleweshe tafadhali
Ni kwamba mashine inazid Kuwa ndogo na kende zinarudi ndani
 
Mboo na mapumbu kuzama ndani ao kusinyaa iyo nidalili tosha ya NGIRI hapo ni kwamtazamo wangu lamsingi aende hospitali afanyiwe uchunguzi, na azingatie lishe matunda, mboga za majani, karanga, mbegu za mabogo, kutafuna muhugo ukiwa mbichi, akipata tawi la aloevera anatoa ule ute ute, anakuwa anapaka pale usiku wakati wakulala ttamsaidia.
 
Pia achunguze kama iyo hali imeanza ghafla ao nimda mrefu anaiona Kama imeanza ghafla tu! Hapo bila shaka, kuna mkono wa mtu awai mapema akatibiwe
 
Tatizo lako huku ulipo lileta siko ndugu yangu. Hutapata msaada wowote, nenda jukwaa la Udactari, huko kidogo unaweza pewa msaada. **** na Mapumbu kuzama ndani ao kusinyaa iyo nidalili tosha ya NGIRI. hapo ni kwamtazamo wangu. Lamsingi aende hospital afanyiwe uchunguzi, na. Azingatie lishe. Matunda, mboga za majani, karanga, mbegu za Mabogo, kutafuna muhugo ukiwa mbichi, akipata tawi la aloevera anatoa ule ute ute, anakuwa anapaka pale usiku wakati wakulala. Itamsaidia.
Asante ndugu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom