Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaahahah"Nina ndugu yangu ana tatizo la uume na jirani yake wanakuwa wadogo na kuzama ndani"
Sijaelewa aseee hebu nieleweshe tafadhali
hahaha ss mbona unanicheka chief!hahaahahah
Walikua wanachunguliana ndugu na jirani wakaonana wana tatizo linafanana wanataka tiba"Nina ndugu yangu ana tatizo la uume na jirani yake wanakuwa wadogo na kuzama ndani"
Sijaelewa aseee hebu nieleweshe tafadhali
tatizo la uume kuzama ndani au uume mdogo au uume umefanyaje?Walikua wanachunguliana ndugu na jirani wakaonana wana tatizo linafanana wanataka tiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole kwa mdogo ako na jirani yake..waende hospital
Pia inawezekana kumbe unajua mambo mengi wewe naeSio atakuwa na ngiri
Asante ndugu kwa ushauriTatizo lako huku ulipo lileta siko ndugu yangu. Hutapata msaada wowote, nenda jukwaa la Udactari, huko kidogo unaweza pewa msaada. **** na Mapumbu kuzama ndani ao kusinyaa iyo nidalili tosha ya NGIRI. hapo ni kwamtazamo wangu. Lamsingi aende hospital afanyiwe uchunguzi, na. Azingatie lishe. Matunda, mboga za majani, karanga, mbegu za Mabogo, kutafuna muhugo ukiwa mbichi, akipata tawi la aloevera anatoa ule ute ute, anakuwa anapaka pale usiku wakati wakulala. Itamsaidia.