Tatizo la uvimbe katika mfumo wa uzazi wa mwanamke

raphalena

Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
32
Reaction score
4
Naombeni yeyote ambaye anawezakuwa na uelewa juuu ya tatizo la uvimbe katika mfumo wa uzazi wa mwanamke! husababishwa na nini?, madhara yake ni nini na nini chaweza kuwa suluhisho la tatizo? na jee tatizo kama hili laweze kuwa common hata kwa akina dada ambao hawajajifungua wala kubeba mimba?
 

Kuziba kwa mirija
(fallopian tubes), hii husababisha mbegu za kiume (sperms) zishindwe kulifikia yai na kulirutubisha ili ujauzito utokee. Kuziba kwa mirija huweza kusababishwa na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya kujamiiana, matatizo katika kizazi au upasuaji.

Mara nyingi wanawake ambao mirija yao imeziba, hawahisi dalili zozote.
Ute ute katika kizazi (mucus problems), ute unaopatikana katika kizazi cha mwanamke huwa na sifa ya kuruhusu mbegu za kiume ziweze kusafiri kwa urahisi na kulifikia yai ili kulirutubisha. Kwa

baadhi ya wanawake ute huu unakuwa na uzito na kemikali ambazo ni vigumu kwa mbegu za kiume kuweza kupita, na wakati mwingine mwili wa mwanamke huzalisha sumu ambazo huziua mbegu za kiume, haya yote husababisha kukutana kwa yai na mbegu za kiume

kusitokee na hivyo ujauzito kutopatikana.
Uvimbe katika kizazi (fibroids), hii huchangia asilimia tatu (3%) katika mwanamke kutopata ujauzito. Uvimbe huu ambao hutokea katika kuta za mji wa mimba, kwa namna moja au nyingine huweza kuzuia yai lililorutubishwa

lisikae sehemu yake na hivyo kuathiri kizazi.
Matibabu ya kansa, kwa kutegemeana na aina ya matibabu, aina ya dawa au njia ya mionzi, hizi huweza kumuathiri mwanamke na kumsababishia kushindwa kupata ujauzito.Ukomavu katika kizazi, kwa baadhi ya

wanawake wanayo matatizo ambayo kizazi chao huwa hakijakomaa vizuri au katika kuzaliwa kwao walizaliwa na tatizo hili ambalo, kizazi hakiko sawa
(abnormally developed uterus).Asilimia kubwa ya matatizo ya mwanamke kushindwa kupata ujauzito yanayo tiba,

kama unalo tatizo katika kupata ujauzito usikate tamaa, onana na wataalamu wa afya ili uweze kujua chanzo cha tatizo lako na kupatiwa msaada unaostahili.
 
asante sana bwana Mtimkavu kwa maeleza yako mazuri na malefu, yamenisaidia nimepata mwanga kiasi fulani
 
Uvimbe ni Common sana Kwa Wanawake,,,, Vimbezingine zna Asili ya Kansa wakat znginen si Kansa ni Minyama Ru

kwa Mabint wadada hupatwa sana UVIMBE uitwao FIBROIDS au Myoma,,, pia INAWEZA kuwa OVARIAN CYST, au Cervical Malignancy

Wsjubwa hupatwa na OVARIAN TUMOUR, ENDOMETRIAL CANCER, na ETC

SO Tupe Dalili zako unajskiaje wewe kabla hujafanya USS,,,
 
Asante sana MissM4C it is not me but is about mchumba wangu.
Kwanza alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya tumbo sometimes anakuwa anahisi uvimbe hata ukimshika tumbo inaweza pia kuhisi uvimbe. Poa kiuno kikawa kinamuuma na mara kiuno kianzapokuuma na miguu inaanza kuuma. Pia mwezi wa 5 sasa hajapata MP and she is not pregnant.
Baada ya kwenda hospital for utrasound ndo wakasema anauvimbe wa ktk mfumo wa uzazi.
But cha kushangaza tena leo alipoingia ktk chumba cha magonjwa ya akina mama kaambiwa kuwa uvimbe alionao hauna uhusiano na matatizo hayo ya kuumwa au MP.
But akawa amepewa tuu dawa za kutengeneza Menstration yake (MP)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…