Naombeni yeyote ambaye anawezakuwa na uelewa juuu ya tatizo la uvimbe katika mfumo wa uzazi wa mwanamke! husababishwa na nini?, madhara yake ni nini na nini chaweza kuwa suluhisho la tatizo? na jee tatizo kama hili laweze kuwa common hata kwa akina dada ambao hawajajifungua wala kubeba mimba?