Tatizo la Vatican siyo ushoga,tatizo ni ngono kwa ujumla

Tatizo la Vatican siyo ushoga,tatizo ni ngono kwa ujumla

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Tatizo ni kwamba sex desire inakuwa na nguvu kubwa sana katika binadamu na ukiweka sheria kali kunaweza kuwaumiza watu.
Sheria kama hizi: ukimtia mimba mtoto wa shule,miaka thelathini jela.

Inakuwa vigumu kumpa mtu training ambayo inamwezesha kujikinga na hizo dangers,kwa hiyo inaonekana ni afadhali adhabu ziwe lenient.

Lakini kama ukitaka seriously kuyatanzua haya matatizo,mashoga lazima wawe castrated,,( chemically castrated). In fact,watu wote wanaotenda serious sins wanapaswa kuwa castrated.
Actually Bwana Yesu ndiye anayetaka watu wanaofanya vituko wawe castrated,lakini tukimtaja "Yesu",tuaulizwa,kasema lini,kasema wapi?

Tatizo ni desire,ni mind control,thought control,ili watu waweze kushinda vishawishi,kuishinda ennui.

Na hao watu wa Vatican,they are Past Masters in making ambiguous statements. Ukianza kuuliza Askofu huyu kasema nini na Askofu yule kajibu nini,au Baraza la Maaskofu Malawi au Kenya wamesema nini,utajitaabisha bure. We ukisikia watu wameshikana mashati,that is when you should pay attention.
 
Serious sins?

Serious sin inayokufanya upate mauti ya milele ni kumkataa Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako

Anaeweza kuondoa dhambi yako hapa duniani ni Yesu Kristo ambae anakaa kwetu kwa kumwamini tu na si vinginevyo
 
Umenifungua macho, kumbe ni kama vile kwa wengi wetu sasa kufanya ngono imekuwa kama sio kosa tena, macho na akili zetu vyote tumevielekeza kuwalaani mashoga, nina hakika hata wazinzi nao watakuwa sasa wanawapigia sana mashoga kelele, bila shaka hawa ndio wale waliambiwa; "asiye na kosa, na awe wa kwanza kumpiga mawe"

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kuu watu wengi hawajalijua.
Iko hivi usodoma umeanza enzi na enzi kama zilivyo dhambi nyingine. Tatizo linakuja pale ambapo kundi la waovu wanapotaka uovu wao uwe legalize (rasimishwa) na system.
Hakuna mtu anaeenda majumba ya starehe kuwakamata wafiraji, wazinzi, waasherati wala wasagaji. Ila linapokuja suala la wao kutaka mifumo ya kusimamia na kulinda sheria kuwahalalisha hiyo ndiyo vita kuu.
Kanisa likihalalisha ndoa za jinsia moja basi ni wazi kizazi kimeharibiwa rasmi na zaidi sana kwa watoto wanaokua.
Itakuwa mifumo imejiondoa kwenye wajibu wa kulinda kizazi kijacho.
Huwezi tena kumwambia mtoto wako ushoga ni kosa wakati kanisa linaubariki.
Kama vile computer haiwezi kujiendesha yenyewe ila tu kwa zile program zilizokuwa installed ndani yake, ndivyo na akili za binadamu hasa watoto ambao hawajaweza kupambanua kati ya jema na baya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa hawezi kuwa kinyume na wakubwa wa Dunia akienda kinyume anauwawa so ni lazima afate kile wakubwa wa Dunia wanataka.
Aliyekufa majuzi alikuwa mjanja akazugia tatizo la kiafya ili ajiuzulu asimkosee Mola wake
 
Mfano wa wakubwa wa Dunia ni kina nani?
 
Tatizo ni kuwaambia wanawake lijali wasiolewe, alafu uwaambie wanaume lijali wasioe alafu uwaweke maeneo ya kufanana na unawanyima exposure ya kijamii.
Hiyo practice Kanisa la Rumi lilikosea sana
 
Back
Top Bottom