mwambie atumie hand lotion
Angalia jinsi ya ku-handle dry skin.
-aepuke kushika maji ya moto sana na sabuni kali, ikilazimu atumie gloves (kuna gloves za njano/kijani zinapatikana supermarket for household usage).
-apake mafuta ya vaseline mara kwa mara, otherwise kama anaweza kupata olive oil au genuine lotion manake ya kichina haitamsaidia.
:shock:inawezekana huyu njemba anachapa sana jembe au ni fundi furniture,muulize anafanya kazi gani?aidha apunguze hizo kazi ngumu harafu ao
- :shock:
she mikono kwa kutumia mafuta ya brek,lpamoja na kusugua na jiwe utafaidi tu
Kwa hiyo iwe kama ananifanyia surgery au sio?
haa haa haaaa, mbona ameshakufanyia tayari