Tatizo la viganja kuwa vikavu.

Tatizo la viganja kuwa vikavu.

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,588
Reaction score
22,752
Mpenzi wangu nampenda tabia na hata muonekano wake kwangu naupenda sana ila viganja vyake vya mkono ni vikavu kiasi cha kusababisha kuniumisa wakati wa kutomasana.NASISITIZA NAMPENDA ILA TATIZO NDO HIYO MIKONO YAKE.
Je hili tatizo linatibika au? Kama ndiyo nisaidieni dawa ili niwe nafaidi massage kutoka kwake.
 
Angalia jinsi ya ku-handle dry skin.
-aepuke kushika maji ya moto sana na sabuni kali, ikilazimu atumie gloves (kuna gloves za njano/kijani zinapatikana supermarket for household usage).
-apake mafuta ya vaseline mara kwa mara, otherwise kama anaweza kupata olive oil au genuine lotion manake ya kichina haitamsaidia.
 
Asante kwa ushauri mzuri.
 
awe anavaa gloves wakati wa malovee
 
:shock:inawezekana huyu njemba anachapa sana jembe au ni fundi furniture,muulize anafanya kazi gani?aidha apunguze hizo kazi ngumu harafu ao
  • :shock:

she mikono kwa kutumia mafuta ya brek,lpamoja na kusugua na jiwe utafaidi tu
 
No wala hafanyi hizo kazi tumejuana muda na hili tatizo sio la hivi karibuni ni la muda mrefu.
 
Back
Top Bottom