Wadau habari,ili na mm nisinyeshewe na mvua,nina ka mkweche kangu ka vitz old model.Ni spana mkononi ila kananisave.Sasa block ilikuwa imepasuka,nilipopata nyingine fundi akakata cylinder head ili apachike block .Hakuwa makini vikombe akavirudisha kienyeji,gari inagonga sana.Nini muarubaini.