Tatizo la vikombe kugonga kwenye Cylinder Head

Tatizo la vikombe kugonga kwenye Cylinder Head

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
597
Reaction score
651
Wadau habari, ili na mimi nisinyeshewe na mvua nina ka mkweche kangu ka vitz old model.

Ni spana mkononi ila kananisave. Sasa block ilikuwa imepasuka, nilipopata nyingine fundi akakata cylinder head ili apachike block.

Hakuwa makini vikombe akavirudisha kienyeji, gari inagonga sana. Nini mwarobaini?
 
Wadau habari,ili na mm nisinyeshewe na mvua,nina ka mkweche kangu ka vitz old model.Ni spana mkononi ila kananisave.Sasa block ilikuwa imepasuka,nilipopata nyingine fundi akakata cylinder head ili apachike block .Hakuwa makini vikombe akavirudisha kienyeji,gari inagonga sana.Nini muarubaini.
Kama upo dar peleka tabata dampo watakusaidia hyo shida na itakwisha, ial kama upo mkoa nunua head nyingine
 
Back
Top Bottom