Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Hii halitokani na kunyoa ni tatizo linalotokana na tissue damage, ni vile cell zinashindwa kufuata mfumo wake wa awali na hutokea maeneo ya mikunjo wa ngozi zaidi. Pia hutokea kwa watu wenye uzito mkubwa zaidi hihi ni kwa 65%.
Najitahidi nije na solution soon.
 

Huu ugonjwa kitaalamu unaitwa Acne KeloidalisNuchae, chanzo ni kunyoa ambapo kuna vipande vya nywele vilivyokatwa huwa vinabaki ndani ya ngozi na kusababisha hilo tatizo.

Matibabu:
Waweza tumia dawa ya cream inaitwa Clobetasol propriate, kutwa mara mbili kwa mda wa wiki mbili

Au waweza tumia Benzoyl Peroxide

Au waweza tumia injection ya Triamcinolone

NB: huu ugonjwa huwa unasumbua kupona kama hutazingatia dozi kwa wakati, pia kuepuka kunyoa bila kutumia zile dawa maalumu za shaving.
 
Reactions: PYD
Amani ya bwana iwe nanyi.
Ninaomba msaada wa ushauri au dawa ya kutibu tatizo hili.
Asànte.
 
Iligharimu US Dollar ngapi ??
 
Pole afande
 
kama bado vinakusumbua,dawa ipo ni unapona kabsa
 
Jitahid upate utomvu wa mibono ndio Bora zaidi paka Kila unaponyoa! Pia utomvu wa papai bichi unapaka Kila unapnyoa,,
, ikiwezekana pia tumia kusugua Kwa majivu wkt wa kuoga hrf ukimaliza jifute maji vzr Kisha pakaa kibiriti upele ukiwa umechanganya na mafuta ya Nazi!
Nilipiga dozi hiyo kusugua Kwa majivu bila huruma na kibiriti upele unapaka mchanganyiko wa mafuta mpaka Sasa mwaka wa 13 sijawahi tokewa na hiyo kitu aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…