Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acne Kelodalis Nuchae.Inflammation of hair follicle
Code:
Kifupi ni matibabu ambayo niliyaoata mwanza makoroboiNdugu ungetoa msaada hapa huenda ikawasaidia wengi wenye shida kama hii
Hospital?Acne Kelodalis Nuchae.
Kama ndo wewe hapo ni PM nkutibu Mkuu!
Ni matibabu ya hospitali sio ya kienyeji kienyeji.
sindano za wapi?Hospital?
Binafsi nilikwenda bugando nikaambiwa hakuna matibabu zaidi ya sindano ambazo hazikusaidia kitu
I dont remember ngoja nitafute nikutumie Bosssindano za wapi?
jina lake?
0621433733 niNitatufe Inbox nikupe dawa niliona nilikuwa navyo for 5 years sasa sina kabisa
nahisi kulia haki ya MUNGU,Kwa huzuni kubwa Sana Bado nnavyo for 19yrs toka 2002 mwezi Juni km huu. Hospitality zote hapa mjini ukienda waweza kuta file langi. Nilianzia burhani charitable hospital, nikaja Hindu mandal hospital, nokaenda Aga khan hospital nikamkuta specialist huyo huyo happy ni 2006-2007 nikahamia tmj pale nikakutana na specialist mmoja akaniambia having dawa ila nimtafute binafsi ana zahanati yake binafsi ana concortion kaitengeneza mwenyewe ila akaniambia nijiandae kwa maumivu ya kutosha. Dah sikumtafuta wadau walinionya nisifanyiwe majaribio. Ilipofika 2009 Kuna mdau alinishawishi nitafute candiderm cream yeye ilimsaidia, nayo ikadunda. Vinatulia kwa muda baadaye vinarudi. 2012 nikahamia AAR pale posta, specialist anatoka muhimbili. Akanihamishia muhimbili Nika attend clinic yake, nikakatwa kinyama kichogoni kwenye tatizo, ikafanyiwa uchunguzi, majibu ni infection kwenye shina lq nywele zinakootea. nikapata dawa mpya za maji Sasa sio cream tena. Aliniambia kuwa hizo cream ndo chakula ya fungus niachane nazo. Nikapewa dawa Kama nne hivi, za maji mbili, vidonge na shampoo ile nyekundu. Hivyo navyo waaapi huyo specialist akaenda ulaya kupata kozi akanitransfer Kwa mwingine lkn waaapi. Mwishowe Sasa hizo dawa za maji zIkatolewa kwenye Mpango wetu wa malipo, tulikuwa tunatumia AAR insurance Rance. Baadaye nikawa nazIpata pale Nakiete lkn bei ikawa alfu 30
Niliachana Nazo maana gharama kubwa lkn hazitibu.
Sasa mwaka Jana wakati korona ya kwanza inaanza nikaacha kabisa kutumia dawa, Kuna wakati nikipita pharmacy wataalam wananishauri dawa ya kupaka, nomeshatumia gentalene c, accrason nazo zinafifisha tu. Sasa nikakaa mwaka mzima sijatumia dawa yeyote ile mpaka mwezi huu wa sita ndo nimenunua tena accrason cream lkn Mambo ni Yale yale!! Tushauliane wadau what is the way forward?
kaka hakuna aliyekushaur plastic sugery maana naskia iyo pia ni moja ya tibaKwa huzuni kubwa Sana Bado nnavyo for 19yrs toka 2002 mwezi Juni km huu. Hospitality zote hapa mjini ukienda waweza kuta file langi. Nilianzia burhani charitable hospital, nikaja Hindu mandal hospital, nokaenda Aga khan hospital nikamkuta specialist huyo huyo happy ni 2006-2007 nikahamia tmj pale nikakutana na specialist mmoja akaniambia having dawa ila nimtafute binafsi ana zahanati yake binafsi ana concortion kaitengeneza mwenyewe ila akaniambia nijiandae kwa maumivu ya kutosha. Dah sikumtafuta wadau walinionya nisifanyiwe majaribio. Ilipofika 2009 Kuna mdau alinishawishi nitafute candiderm cream yeye ilimsaidia, nayo ikadunda. Vinatulia kwa muda baadaye vinarudi. 2012 nikahamia AAR pale posta, specialist anatoka muhimbili. Akanihamishia muhimbili Nika attend clinic yake, nikakatwa kinyama kichogoni kwenye tatizo, ikafanyiwa uchunguzi, majibu ni infection kwenye shina lq nywele zinakootea. nikapata dawa mpya za maji Sasa sio cream tena. Aliniambia kuwa hizo cream ndo chakula ya fungus niachane nazo. Nikapewa dawa Kama nne hivi, za maji mbili, vidonge na shampoo ile nyekundu. Hivyo navyo waaapi huyo specialist akaenda ulaya kupata kozi akanitransfer Kwa mwingine lkn waaapi. Mwishowe Sasa hizo dawa za maji zIkatolewa kwenye Mpango wetu wa malipo, tulikuwa tunatumia AAR insurance Rance. Baadaye nikawa nazIpata pale Nakiete lkn bei ikawa alfu 30
Niliachana Nazo maana gharama kubwa lkn hazitibu.
Sasa mwaka Jana wakati korona ya kwanza inaanza nikaacha kabisa kutumia dawa, Kuna wakati nikipita pharmacy wataalam wananishauri dawa ya kupaka, nomeshatumia gentalene c, accrason nazo zinafifisha tu. Sasa nikakaa mwaka mzima sijatumia dawa yeyote ile mpaka mwezi huu wa sita ndo nimenunua tena accrason cream lkn Mambo ni Yale yale!! Tushauliane wadau what is the way forward?
Mh hakuna, kila unayekutana nae anakushauri dawa anayoijua yeye. Na anakuthibitishia kabsaa Kuna jamaa yake alipona kwa kutumia hiyo dawah
kaka hakuna aliyekushaur plastic sugery maana naskia iyo pia ni moja ya tiba