Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Habar wapenda,

Cjilo au mwenye ana contact za cjilo mwenyewe naomba ANISAIDIE, nnashida nae sana au hata mwenye kujua fb acount name yake anisaidie.

Namba zang n 0759659624 ASANTENI
 
Habari,

Bavaria mimi pia nina shida ya vipele kisogon apa nna miaka minne vinanisumbua vp nyie mlipata suluhisho gan mnisaidie.
 
Nitatufe Inbox nikupe dawa niliona nilikuwa navyo for 5 years sasa sina kabisa
 
It almost mwaka Sasa hivi vipele vinanisumbua and kwa udadisi wangu nimeambiwa no inflammation ya hair follicle maana dawa za fungus plus bacteria hazifanyi kazi Dr's mwenye experience na hili tatizo anisaidie prescription za kutatua
IMG_20210426_092130_702.jpg
 
Ndugu ungetoa msaada hapa huenda ikawasaidia wengi wenye shida kama hii
Kifupi ni matibabu ambayo niliyaoata mwanza makoroboi
Gahrama yake haipungui 30000 na haizidi 40000

Ila tabu yake inabidi kweli ujidhatiti kuvumilia maumivu ni uondoaji kwa njia ya kusugua na kuweka dawa.

Hivyo kama uko interested na unaweza fika maeneo ya mwanza nitafute nami nitakuelekeza ni wapi na namba za simu nitakupa free without charge yoyote wewe ndio utaenda kuelewana nae muhusika
 
Acne Kelodalis Nuchae.

Kama ndo wewe hapo ni PM nkutibu Mkuu!
Ni matibabu ya hospitali sio ya kienyeji kienyeji.
Hospital?

Binafsi nilikwenda bugando nikaambiwa hakuna matibabu zaidi ya sindano ambazo hazikusaidia kitu
 
Poleni sana,kuna aftershave moja natumia inaitwa dermatol ni nzuri sana.
 
Kwa huzuni kubwa Sana Bado nnavyo for 19yrs toka 2002 mwezi Juni km huu. Hospitality zote hapa mjini ukienda waweza kuta file langi. Nilianzia burhani charitable hospital, nikaja Hindu mandal hospital, nokaenda Aga khan hospital nikamkuta specialist huyo huyo happy ni 2006-2007 nikahamia tmj pale nikakutana na specialist mmoja akaniambia having dawa ila nimtafute binafsi ana zahanati yake binafsi ana concortion kaitengeneza mwenyewe ila akaniambia nijiandae kwa maumivu ya kutosha. Dah sikumtafuta wadau walinionya nisifanyiwe majaribio. Ilipofika 2009 Kuna mdau alinishawishi nitafute candiderm cream yeye ilimsaidia, nayo ikadunda. Vinatulia kwa muda baadaye vinarudi. 2012 nikahamia AAR pale posta, specialist anatoka muhimbili. Akanihamishia muhimbili Nika attend clinic yake, nikakatwa kinyama kichogoni kwenye tatizo, ikafanyiwa uchunguzi, majibu ni infection kwenye shina lq nywele zinakootea. nikapata dawa mpya za maji Sasa sio cream tena. Aliniambia kuwa hizo cream ndo chakula ya fungus niachane nazo. Nikapewa dawa Kama nne hivi, za maji mbili, vidonge na shampoo ile nyekundu. Hivyo navyo waaapi huyo specialist akaenda ulaya kupata kozi akanitransfer Kwa mwingine lkn waaapi. Mwishowe Sasa hizo dawa za maji zIkatolewa kwenye Mpango wetu wa malipo, tulikuwa tunatumia AAR insurance Rance. Baadaye nikawa nazIpata pale Nakiete lkn bei ikawa alfu 30
Niliachana Nazo maana gharama kubwa lkn hazitibu.
Sasa mwaka Jana wakati korona ya kwanza inaanza nikaacha kabisa kutumia dawa, Kuna wakati nikipita pharmacy wataalam wananishauri dawa ya kupaka, nomeshatumia gentalene c, accrason nazo zinafifisha tu. Sasa nikakaa mwaka mzima sijatumia dawa yeyote ile mpaka mwezi huu wa sita ndo nimenunua tena accrason cream lkn Mambo ni Yale yale!! Tushauliane wadau what is the way forward?
 
Me nafikiria kufanya plastic Suggery vikatwe vitolewe au namna yoyote ile ya kuviunguza nasikia Arusha kuna Dr Njela anafanya hii shughuli jitahada za kumpata nimeanza kuzifanya ili niweze kusafiri. Nitaleta mrejesho Hakuna kitu ninachokithamini katika Maisha kama Afya yangu.
 
Nitatufe Inbox nikupe dawa niliona nilikuwa navyo for 5 years sasa sina kabisa
0621433733 ni
Kwa huzuni kubwa Sana Bado nnavyo for 19yrs toka 2002 mwezi Juni km huu. Hospitality zote hapa mjini ukienda waweza kuta file langi. Nilianzia burhani charitable hospital, nikaja Hindu mandal hospital, nokaenda Aga khan hospital nikamkuta specialist huyo huyo happy ni 2006-2007 nikahamia tmj pale nikakutana na specialist mmoja akaniambia having dawa ila nimtafute binafsi ana zahanati yake binafsi ana concortion kaitengeneza mwenyewe ila akaniambia nijiandae kwa maumivu ya kutosha. Dah sikumtafuta wadau walinionya nisifanyiwe majaribio. Ilipofika 2009 Kuna mdau alinishawishi nitafute candiderm cream yeye ilimsaidia, nayo ikadunda. Vinatulia kwa muda baadaye vinarudi. 2012 nikahamia AAR pale posta, specialist anatoka muhimbili. Akanihamishia muhimbili Nika attend clinic yake, nikakatwa kinyama kichogoni kwenye tatizo, ikafanyiwa uchunguzi, majibu ni infection kwenye shina lq nywele zinakootea. nikapata dawa mpya za maji Sasa sio cream tena. Aliniambia kuwa hizo cream ndo chakula ya fungus niachane nazo. Nikapewa dawa Kama nne hivi, za maji mbili, vidonge na shampoo ile nyekundu. Hivyo navyo waaapi huyo specialist akaenda ulaya kupata kozi akanitransfer Kwa mwingine lkn waaapi. Mwishowe Sasa hizo dawa za maji zIkatolewa kwenye Mpango wetu wa malipo, tulikuwa tunatumia AAR insurance Rance. Baadaye nikawa nazIpata pale Nakiete lkn bei ikawa alfu 30
Niliachana Nazo maana gharama kubwa lkn hazitibu.
Sasa mwaka Jana wakati korona ya kwanza inaanza nikaacha kabisa kutumia dawa, Kuna wakati nikipita pharmacy wataalam wananishauri dawa ya kupaka, nomeshatumia gentalene c, accrason nazo zinafifisha tu. Sasa nikakaa mwaka mzima sijatumia dawa yeyote ile mpaka mwezi huu wa sita ndo nimenunua tena accrason cream lkn Mambo ni Yale yale!! Tushauliane wadau what is the way forward?
nahisi kulia haki ya MUNGU,
mimi vina miaka miwili ila nishaiva,,
huwa natumia muterib jelly kuvipoza makali tu,
 
h

kaka hakuna aliyekushaur plastic sugery maana naskia iyo pia ni moja ya tiba
 
Mh hakuna, kila unayekutana nae anakushauri dawa anayoijua yeye. Na anakuthibitishia kabsaa Kuna jamaa yake alipona kwa kutumia hiyo dawa
 
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda wa miaka 8, kila mwenye tatizo hili ninaekutana nae pia hunambia amejaribu dawa kadha wa kadha bila mafanikio.

MSAADA !!!!KWA MJUVI WA TIBA YAKE AIDHA YA KUTIBU KABISA AO KU- CONTROL UWEPO WAKE.
IMG_20211024_101107.jpg
 
Back
Top Bottom