Igweeeeee
Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.
Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?
Ifike muda sasa, kama serikali ilivyoamua kulisimamia swala la upungufu wa madarasa vivyo hivyo ilivalie njuga hili swala la walimu.
Serikali ihakikishe shule zote hizo zinawalimu wa kutosha masomo yote!
Happy New Year 2022