Simba na Yanga zinaua soka la bongoJana watu wengi walishangazwa na maamuzi ya refarii kuipa Yanga penati iliyo nyepesi nakupelekea kuonekana Yanga imebebwa ili wasazishe. Jana washabiki wa Simba walipovuka sana tukio hilo lakini leo wamesahau ya wenzio na wao refarii kawapa fadhira ya kubebwa pia. Yaani kila nikijaribu kurudia rudia nione kosa iliyopelekea Simba kupewa penati nashindwa kuelewa kabisa maana mchezaji wa Ruvu kaupiga mpira. Penati ya Yanga ilikuwa ni aibu sana lakini hii ya Simba ni aibu mara ya mia ya penati ya Jana ya Yanga. Naona halizungumziwi hii penati kwavile tu Simba hawakufunga. Ila haikuwa penati pale mbeleko ya chuma imetumika
Hata Morrison alistahili direct red card.Jana watu wengi walishangazwa na maamuzi ya refarii kuipa Yanga penati iliyo nyepesi nakupelekea kuonekana Yanga imebebwa ili wasazishe. Jana washabiki wa Simba walipovuka sana tukio hilo lakini leo wamesahau ya wenzio na wao refarii kawapa fadhira ya kubebwa pia. Yaani kila nikijaribu kurudia rudia nione kosa iliyopelekea Simba kupewa penati nashindwa kuelewa kabisa maana mchezaji wa Ruvu kaupiga mpira.
Penati ya Yanga ilikuwa ni aibu sana lakini hii ya Simba ni aibu mara ya mia ya penati ya Jana ya Yanga. Naona halizungumziwi hii penati kwavile tu Simba hawakufunga. Ila haikuwa penati pale mbeleko ya chuma imetumika
Usimsahau aliyemkanyaga Morrison kwani yeye alistahili kadi ya njano na aliyempiga ngumi Boko akaenda chini wakati yeye alikuwa anaamua tu ugomvi naye alistahili kadi nyekundu. Mwisho wa siku kama hatua zitachukuliwa ni hao hao Ruvu Shooting ndio watakao adhibiwa zaidi Kwa sababu chanzo cha vurugu ni wao wenyewe na mpira gwaride walicheza wao.Hata Morrison alistahili direct red card.
Nimeona viandishi uchwara vimebeba bango kuhusu morison ila wachezaji wa jkt ruvu waliofanya fujo wamewaachaUsimsahau aliyemkanyaga Morrison kwani yeye alistahili kadi ya njano na aliyempiga ngumi Boko akaenda chini wakati yeye alikuwa anaamua tu ugomvi naye alistahili kadi nyekundu. Mwisho wa siku kama hatua zitachukuliwa ni hao hao Ruvu Shooting ndio watakao adhibiwa zaidi Kwa sababu chanzo cha vurugu ni wao wenyewe na mpira gwaride walicheza wao.