changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Jana watu wengi walishangazwa na maamuzi ya refarii kuipa Yanga penati iliyo nyepesi nakupelekea kuonekana Yanga imebebwa ili wasazishe. Jana washabiki wa Simba walipovuka sana tukio hilo lakini leo wamesahau ya wenzio na wao refarii kawapa fadhira ya kubebwa pia. Yaani kila nikijaribu kurudia rudia nione kosa iliyopelekea Simba kupewa penati nashindwa kuelewa kabisa maana mchezaji wa Ruvu kaupiga mpira.
Penati ya Yanga ilikuwa ni aibu sana lakini hii ya Simba ni aibu mara ya mia ya penati ya Jana ya Yanga. Naona halizungumziwi hii penati kwavile tu Simba hawakufunga. Ila haikuwa penati pale mbeleko ya chuma imetumika