Tatizo la Wachezaji Wetu Ni Umiliki Wa Mpira

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ball control ndio mchawi namba moja kwa vijana wetu almost timu zote za premier league sana tatizo ni hilo

Kwa Sie tuliocheza mpira miaka ya nyuma kidogo ilikua afadhali sana na tulikua na kiwango kizuri kuliko hivi sasa
Tuchukulie mfano uichukue kimawazoni timu ya Umiseta kanda ya magharibi au mashariki ya mwaka 1986 halafu icheze na simba au yanga ya 2019 ni wazi timu hiyo ya kombaini ya wanafunzi ingeshinda goli nyingi tu!kwa kiwango safi.
Siri yake ni ndogo tu,-ball control-kilichotujenga Sie wa Kipindi hicho na kurudi nyuma enzi za akina Ahmad amasha,Abdallah Mwinyimkuu,Ezekiel greyson Juju man,Athuman China,Ramadhani Lenny..nk...mbali ya vituo vya soka vilivyokuwepo misheni enzi hizo kama kile cha bruda pale Tabora uwanja wa chipukizi na kile cha Future Urafiki Manzese kitu kidogo sana kilitubusti kufikia kuweza kumiliki Mpira vizuri

Kitu hicho sio kingine Bali ni MPIRA WA MAKARATASI huu ulitujenga sana sana tuliamka nao Mpira huu tukaucheza kutwa nzima kwa kushindana Dana Dana,ball control kwa maana twapasiana ukiwa juu juu ukiangusha unatoka tunaendelea hadi wanabaki watu wawili...tulicheza gombania goli,tuweka magoli madogo,pia mechi za darasa kwa darasa,mtaa kwa mtaa,stream kwa stream,Shule kwa Shule,kata kwa kata nk Mpira huu ambao tulisuka wenyewe ulitusaidia sana na matunda take ndio mfano wa wachezaji kama Saidi mwamba Kizota na weeengi

Leo tunashuhudia mchezaji wa premier league anashindwa kutoa pasi safi,anashindwa kupokea Mpira aliopigiwa,anashindwa kushoot kwa ufasaha golini!mchezaji anakosa magoli zaidi ya matano kwenye mechi moja..aidha kwa kupaisha au kulenga pembeni kabisa..! Aibu
Hakika ball control ndio inatucost was Tz analieni Mpira wa wenzetu Europe wenzetu mambo haya wamefunzwa sana ktk academia zao Sisi inabidi players wetu wajiongeze,sisi wa zamani tulijihangaikia wenyewe kuanzia kusuka mpira was karatasi mpaka kuumiliki
Mwalimu yeyote wa football anitafute nimpe siri zaidi
0716399767ben

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mpira wa makaratasi au sambi. unasaidia hasa ile gombania goli. yaani now Hamna tena japo sisi ndo tulmalizia mwisho mwisho!.. now hamna tena
 
Mlisaidia nini taifa kimichezo, je ni nani kipindi chenu alicheza ulaya?
 
Jibu lako sio la kiuana michezo,kubali kujifunza kwa walio kutangulia.Kwa kipindi alicho kitaja na wachezaji wake Tanzania ilikuwa kwenye kiwango cha juu sana japo wachezaji walicheza kwa mapenzi sio kwa maslahi kama sasa.Timu zenu za sasa hivi ni za hovyo, ni bora niangalie ndondo cup.
 
Swali la haraka-haraka kwko mtoa sred...eti, mtaalamu...kupiga mashuti na kufunga ni sehemu ya ball-control au ni skills za ufungaj? (yan, futballer ajifunze bol kontrol au goal scoreing skills?)

Mtazamo wangu:
Mpira wa sasa ni more of science kuliko hata kipaji! Km huamini angalia dribbling skills za Rasheed Juma (dogo wa Simba sc aliepandishw kikosi A cha Simba msimu huu!) kinavokua compromised! Au yule m-ghana wa Sima sc (Gyan-a centre forward turned into a right full-back!)

Inapotumika sayansi zaidi inam limit mchezaj kufanya anachoweza!
One touch-make a turn-pass

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walichukua kombe la Africa la kumiliki mpira.

Hamna lolote wachezaji wa zamani na wa sasa Ivi wote ni hewa tu, baada ya miaka kadhaa utakuja kusikia Eti Ajibu anakumbukwa na kizazi cha sasa hivi mtu ambae hajalisaidia taifa chochote kimpira hata spot pesa nayo imeenda Kenya.
 
Andika basi vizuri mkuu na sisi wadau wa mpira tuweze kupata point kutoka kwako asee. Khaaa
 
Tulisaidia nini?tafuta rank za FIFA wakati huo miaka ya 80,s angalia Tanzania tulikua mamba ngapi ktk afrika tena ulinganishe na mataifa mengine ya afika hata Yale ya afrika magharibi
Kwa faida yako miaka yanyuma huko kulitengenezwa timu ya Dunia na shirikisho LA soka duniani Tanzania kama sikosei tulikua na wachezaji wawili au watatu
Mlisaidia nini taifa kimichezo, je ni nani kipindi chenu alicheza ulaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la haraka-haraka kwko mtoa sred...eti, mtaalamu...kupiga mashuti na kufunga ni sehemu ya ball-control au ni skills za ufungaj? (yan, futballer ajifunze bol kontrol au goal scoreing skills?)

Mtazamo wangu:
Mpira wa sasa ni more of science kuliko hata kipaji! Km huamini angalia dribbling skills za Rasheed Juma (dogo wa Simba sc aliepandishw kikosi A cha Simba msimu huu!) kinavokua compromised! Au yule m-ghana wa Sima sc (Gyan-a centre forward turned into a right full-back!)

Inapotumika sayansi zaidi inam limit mchezaj kufanya anachoweza!
One touch-make a turn-pass

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupiga mashuti ni sehemu ya ball control,in lazima Mpira unapoupiga ujue unaelekea wapi na pia uweze kuuelekeza penye point ya kusudio lako
Mfano ktk mchezo wa simba na mbao kuna striker zaidi ya Mara 5 ameshindwa kuelekeza mpita golini wakati mwingine yeye na kipa
Hizo skills ni vitu vya ziada yaani kama mchuzi unavyoongezewa bizari au limau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakua Dogo sana,hebu ulizia kwa babu yako akupe story za akina marehemu
Sembuli
Juma mtagwa
Ramadhani Lenny
Juma Pondamali(Kocha wa makipa Yanga kwa sasa)
Athumani Mambo sasa
Omar Mahadhi
Abdallah Kibadeni
Charles Boniface mkwasa
Zamoyoni mogella nk

Halafu urudi hapa utueleze tena kuwa wachezaji wa Tanzania toka zamani wabovu

Hamna lolote wachezaji wa zamani na wa sasa Ivi wote ni hewa tu, baada ya miaka kadhaa utakuja kusikia Eti Ajibu anakumbukwa na kizazi cha sasa hivi mtu ambae hajalisaidia taifa chochote kimpira hata spot pesa nayo imeenda Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ball control ndio mchawi namba moja kwa vijana wetu almost timu zote za premier league sana tatizo ni hilo

Kwa Sie tuliocheza mpira miaka ya nyuma kidogo ilikua afadhali sana na tulikua na kiwango kizuri kuliko hivi sasa
Tuchukulie mfano uichukue kimawazoni timu ya Umiseta kanda ya magharibi au mashariki ya mwaka 1986 halafu icheze na simba au yanga ya 2019 ni wazi timu hiyo ya kombaini ya wanafunzi ingeshinda goli nyingi tu!kwa kiwango safi.
Siri yake ni ndogo tu,-ball control-kilichotujenga Sie wa Kipindi hicho na kurudi nyuma enzi za akina Ahmad amasha,Abdallah Mwinyimkuu,Ezekiel greyson Juju man,Athuman China,Ramadhani Lenny..nk...mbali ya vituo vya soka vilivyokuwepo misheni enzi hizo kama kile cha bruda pale Tabora uwanja wa chipukizi na kile cha Future Urafiki Manzese kitu kidogo sana kilitubusti kufikia kuweza kumiliki Mpira vizuri

Kitu hicho sio kingine Bali ni MPIRA WA MAKARATASI huu ulitujenga sana sana tuliamka nao Mpira huu tukaucheza kutwa nzima kwa kushindana Dana Dana,ball control kwa maana twapasiana ukiwa juu juu ukiangusha unatoka tunaendelea hadi wanabaki watu wawili...tulicheza gombania goli,tuweka magoli madogo,pia mechi za darasa kwa darasa,mtaa kwa mtaa,stream kwa stream,Shule kwa Shule,kata kwa kata nk Mpira huu ambao tulisuka wenyewe ulitusaidia sana na matunda take ndio mfano wa wachezaji kama Saidi mwamba Kizota na weeengi

Leo tunashuhudia mchezaji wa premier league anashindwa kutoa pasi safi,anashindwa kupokea Mpira aliopigiwa,anashindwa kushoot kwa ufasaha golini!mchezaji anakosa magoli zaidi ya matano kwenye mechi moja..aidha kwa kupaisha au kulenga pembeni kabisa..! Aibu
Hakika ball control ndio inatucost was Tz analieni Mpira wa wenzetu Europe wenzetu mambo haya wamefunzwa sana ktk academia zao Sisi inabidi players wetu wajiongeze,sisi wa zamani tulijihangaikia wenyewe kuanzia kusuka mpira was karatasi mpaka kuumiliki
Mwalimu yeyote wa football anitafute nimpe siri zaidi
0716399767ben

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wachezaji wa sasahivi hawa kipaji kama wa zamani akina lunyamila, Salvatore Edward,Chambua, Mwamba,chumila , Marsha nk sasahivi ela ipo na Fursa zimefunguka kuliko zamani lakini kipaji hakuna.Enzi za lunyamila ,samata ni wa kiwango cha kawaida kabisa.
Kuna kombe la chalenji tulichukua Nairobi enzi hizo lunyamila alikuwa top tuliwapiga Uganda sasahivi hata chalenji tunaisikia kwa mbali
 
Kupiga mashuti ni sehemu ya ball control,in lazima Mpira unapoupiga ujue unaelekea wapi na pia uweze kuuelekeza penye point ya kusudio lako
Mfano ktk mchezo wa simba na mbao kuna striker zaidi ya Mara 5 ameshindwa kuelekeza mpita golini wakati mwingine yeye na kipa
Hizo skills ni vitu vya ziada yaani kama mchuzi unavyoongezewa bizari au limau

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama lengo la kupiga shuti golini ni kufunga, basi unachikihitaj ni shooting skills...usijaribu kuhusisha kila touch ya mpira na 'Ball Control'. Km ball control ni muhimu hivo basi wale washirik wa guiness challenge wangekua tishio kwnye soka...kuna wabrazil na wachina wanashirik challenge moja iliokua ikiandaliwa na GUINESS (kampuni ya vileo) wana ball kontrol, lakn hatuwaoni wakizinasua timu kama China kwenye ufungaji (in fact, hawachaguliwi kwny national team za nchi zao...reason ni kwamba futball isnt all about ball control. Ball control ni basic skills kwa futballer, lkn si sawa kuifanya ball control kua kila kitu kwny mpira wa miguu!)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanda ya mashariki walikuwepo Aboubakari Salum, JohnMngazija rest in peace, Andrew Godwin etc ilikuwa ni kiboko !
 
Back
Top Bottom