ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Ball control ndio mchawi namba moja kwa vijana wetu almost timu zote za premier league sana tatizo ni hilo
Kwa Sie tuliocheza mpira miaka ya nyuma kidogo ilikua afadhali sana na tulikua na kiwango kizuri kuliko hivi sasa
Tuchukulie mfano uichukue kimawazoni timu ya Umiseta kanda ya magharibi au mashariki ya mwaka 1986 halafu icheze na simba au yanga ya 2019 ni wazi timu hiyo ya kombaini ya wanafunzi ingeshinda goli nyingi tu!kwa kiwango safi.
Siri yake ni ndogo tu,-ball control-kilichotujenga Sie wa Kipindi hicho na kurudi nyuma enzi za akina Ahmad amasha,Abdallah Mwinyimkuu,Ezekiel greyson Juju man,Athuman China,Ramadhani Lenny..nk...mbali ya vituo vya soka vilivyokuwepo misheni enzi hizo kama kile cha bruda pale Tabora uwanja wa chipukizi na kile cha Future Urafiki Manzese kitu kidogo sana kilitubusti kufikia kuweza kumiliki Mpira vizuri
Kitu hicho sio kingine Bali ni MPIRA WA MAKARATASI huu ulitujenga sana sana tuliamka nao Mpira huu tukaucheza kutwa nzima kwa kushindana Dana Dana,ball control kwa maana twapasiana ukiwa juu juu ukiangusha unatoka tunaendelea hadi wanabaki watu wawili...tulicheza gombania goli,tuweka magoli madogo,pia mechi za darasa kwa darasa,mtaa kwa mtaa,stream kwa stream,Shule kwa Shule,kata kwa kata nk Mpira huu ambao tulisuka wenyewe ulitusaidia sana na matunda take ndio mfano wa wachezaji kama Saidi mwamba Kizota na weeengi
Leo tunashuhudia mchezaji wa premier league anashindwa kutoa pasi safi,anashindwa kupokea Mpira aliopigiwa,anashindwa kushoot kwa ufasaha golini!mchezaji anakosa magoli zaidi ya matano kwenye mechi moja..aidha kwa kupaisha au kulenga pembeni kabisa..! Aibu
Hakika ball control ndio inatucost was Tz analieni Mpira wa wenzetu Europe wenzetu mambo haya wamefunzwa sana ktk academia zao Sisi inabidi players wetu wajiongeze,sisi wa zamani tulijihangaikia wenyewe kuanzia kusuka mpira was karatasi mpaka kuumiliki
Mwalimu yeyote wa football anitafute nimpe siri zaidi
0716399767ben
Sent using Jamii Forums mobile app