Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese.

Liwe tu Fundisho kwa wanaufaika Nina imani mada kibao umeshakutana nazo za elimu ya mikopo na madhara yake huenda umeshakutana nayo pale ulipobugi.. Kufanya kosa sio kosa Bali kurudia kosa ndio kosa usiangukie Tena katika mtego uliokunasa.waliopata B mbili wameshaelewa.
 
Jikune unapofikia, siyo lazima ununuwe bidhaa ambayo haipo ndani ya uweo wako.
 
Back
Top Bottom