HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Habarini,
Kumekuwa na tabia ya madaktari hasa wa hospitali za serikali za wilaya hadi ya taifa Muhimbili kuandikia dawa wagonjwa na baadae kubadirisha na kuandika dawa nyingine huku tayari zimeshalipiwa dawa alizoandikiwa mwanzo kitu ambacho husababisha hasara na gharama kubwa kwa wagonjwa.
Mgonjwa anaruhusiwa anajikuta amebaki na dawa nyingi tu ambazo hazijatumika kabisa na kazilipia.
Ni vyema madaktari wanapobadilisha dawa au kusimamisha dawa basi zikubalike kurudishwa famasi au pesa yake irejeshwe kwa mgonjwa ama kufidia sehemu nyingine.
Hili limekuwa ni tatizo pia kwa watumiaji wa bima ya Afya ya NHIF na kuwa mzigo wa gharama kwao.
Hili litadutiwe ufumbuzi kwa wa haraka ili kuwapunguzia wananchi mzigo wa gharama za matibabu.
Nawasilisha.