Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Nisaidieni kuhusu hili: inakuaje mwanamke anadai anahisi maumivu wakati wa tendo la ndoa, ni kwamba uume mkubwa au namna ya kufanya nae, ila tatizo style zote anadai maumivu anayasikia.
 
Nisaidieni kuhusu hili. Inakuaje mwanamke anadai anahisi maumivu wakat wa tendo la ndoa, ni kwamba uume mkubwa au namna ya kufanya nae, ila tatzo style zote anadai maumivu anayasikia
Mkuu kwnz HAKIKISHA DUSHE lipo clean and shaved, maana wengine nywele za DUSHE ZINAWACHANA, pia jitahidi Uilainishe PAPUPI iwe LAINII, iwe INA GUNDI GUNDI, hapo anza KUMPASUA, hutojuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo hayo yapo, nakushauri nenda kaonane na daktari wa wakina mama.
 
Mkuu hua analalamika kuumia wakati gani?
Ukiwa unaanza tu kuingiza au unapokua unasugua kwa spidi?

Maendeleo hayana chama
 
Hajakupenda hivyo anakuwa hana hisia na wewe na ndo maana uke haulainiki, ni Bailojia.

Ushauri:
Tafuta Mwanamke atakayekupenda na kuwa na hisia na wewe!
Huwa kuna matatizo/magonjwa yanasababisha maumivu, mshauri waende kwa Dr wa magonjwa ya kina mama watapata tiba na maumivu yataisha.
 
Back
Top Bottom